Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Ndio shida na tatizo kubwa sana la Ma CHADEMA huwa hoja ikiwazidi uwezo na kushindwa kujibu mnaanza kutukana matusi na lugha chafu kama wagonjwa. Jibu hoja na siyo kuropoka ujinga ujinga tu hapa.
Bablai sintopoteza muda wangu kubishana na ww,nafikiri ni mtu nmzima kabisa,we jiulize tu inakuhusu nn chadema wakiwa na mamilioni ya wanachama au wakiwa kumi inakuhusu nn?mbn kuna vitu serious vya kwenu wenye dhamana ya kuongoza hii nchi hamvitolei ufafanuzi,MF mwezi wa nane huu ndege iliyonunuliwa kwa kodi zetu imetelekezwa Malaysia nn kinaendelea?au rahisi wetu siku mbili izi yuko wap?
 
Sema wewe jamaa ungekuwa mwanamke ungeishajiuza sana mwili wako kwa mabosi wa CCM ili wakupenyeze..bahati mbaya ni mwanaume sababu kuna kitu unakitafuta kwa nguvu sana kupitiliza bahati mbaya hawakuoni unaotamani wakuone...
Ni aibu sana kwa mwanaume kuwa hivi
Mkuu siku hizi hawa watoto hadi wa kiume wanajiuza kwa mabasha..
When i say b*tches i don't mean only ladies cuz some of these nigg*z are b*tches too.
 
Umeielewa lakini hoja yangu au umekurupuka tu huko bar na kukimbilia jukwaani kuandika usichokijuwa😃😃😃
Nakunywa na Mkeo. Lisu kakushika pabaya. Michango achangiwe yeye wewe unakaa kuhesabu na kuumia Tuliza makasiriko na Chuki Chawa. Wacha "Wafu wazike wafu wao".
 
ila wewe mndali sijui mmalila itakuwa viongoz wa cdm wamewah kukutoa marinda, mbona unawachukia bila sababu
Mimi siwachukii bali nimeweka hoja ya kimahesabu ,kwa hiyo anayetaka kukosoa hoja hiyo akosoe kihoja na kimahesabu au kitakwimu.
 
Nakunywa na Mkeo. Lisu kakushika pabaya. Michango achangiwe yeye wewe unakaa kuhesabu na kuumia Tuliza makasiriko na Chuki Chawa. Wacha "Wafu wazike wafu wao".
Mmeumbuka vibaya sana awamu hii.njia ya muongo ni fupi sana. Uongo wenu wa kupika takwimu umefika mwisho. Watanzania wamewapuuzeni kwa sasa. Wamegundua ninyi ni madalali wa kisiasa.
 
Nakukumbusha hao wanachama unaosema waliwahi kuwachangia Mbowe na Wabunge wengie waliofungwa na Meko takriban Tsh. Milioni 400 ndani ya siku 3 tu
Pesa zile zilichangwa na watu mbalimbali wakiwepo hata CCM wenyewe. Kwa kuwa watu waliona haina haja ya wabunge wake akina Mdee waende jera.watu walihitaji ushindani wa kisiasa uwepo .unakumbuka polepole kwa niaba ya CCM alitoa pesa kusaidia jambo lile? Au umesahau mara hii.
 
Mkuu siku hizi hawa watoto hadi wa kiume wanajiuza kwa mabasha..
When i say b*tches i don't mean only ladies cuz some of these nigg*z are b*tches too.
CHADEMA hoja ikishawazidi urefu wa akili zenu mnaanza ngonjera na mayowe. Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo viroja
 
Bablai sintopoteza muda wangu kubishana na ww,nafikiri ni mtu nmzima kabisa,we jiulize tu inakuhusu nn chadema wakiwa na mamilioni ya wanachama au wakiwa kumi inakuhusu nn?mbn kuna vitu serious vya kwenu wenye dhamana ya kuongoza hii nchi hamvitolei ufafanuzi,MF mwezi wa nane huu ndege iliyonunuliwa kwa kodi zetu imetelekezwa Malaysia nn kinaendelea?au rahisi wetu siku mbili izi yuko wap?
Naona umepaniki na kuchanganyikiwa mpaka unashindwa kujibu hoja kwa hoja na kuishia kukurupuka kivyako.
 
Tufanye we mkuu ndugu yangu bigwa wa hoja na una akili kubwa kipindi unasoma mwalimu mkuu mamaako kwaiyo we bonge genius umeshinda ww mkuu
 
Hoja hujibiwa kwa hoja na nimewataka tubishane kwa hoja na siyo makelele yenu na mimatusi yenu.
Hizo siyo hoja zenye maana za kujadiliwa hapa JF! Ni hoja za kitoto zilizojaa umbeya wa kisiasa.
Kama siyo Umbeya,michango ya gari la Lissu inakuhusu nini na inakuwashia nini?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu nayosemaga humu jukwaani kuwa CHADEMA imepuuzwa na inaendelea kupuuzwa na mamilioni ya watanzania kila uchwao.

Michago inayoendelea kuchangwa imeonyesha CHADEMA haina wanachama hai hata million moja tu.imeonyesha CHADEMA huwa wanapika takwimu ili kuwapofua macho na akili wafuasi wake kiduchu na wafadhili wao. Sasa kwa sasa tangia michango imeanza kuchangwa kwa ajili ya Lissu, CHADEMA na wana CHADEMA mpaka muda huu wameshindwa kufikisha millioni 30.

Sasa tizama mahesabu haya kutoka kwangu Mwashambwa Lucas kada kindaki Ndaki wa CCM.

Kama CHADEMA ingekuwa na walau wafuasi na wanachama hai hata laki tano Tuuuu yaani 500,000 na kila mwanachama akachanga walau elfu moja tu maana yake mpaka sasa ingekuwa imepatikana Million mia tano keshi. Yaani

500,000×1000= 500,000,000/=

je pesa hizi zisingetosha kununua gari analolitaka Lissu na chenji kubaki??

Kama CHADEMA ingekuwa na wafuasi Million moja na kila mtu akachanga walau shilingi mia tano maana yake ni kuwa bado Lissu angepata millioni mia tano keshi.

Sasa hao mamilioni ya wanachama ambao CHADEMA huwa inasema inao wengi kuliko wana CCM wapo wapi? Wamejificha wapi? Hawajaona na kusikia kuwa Lissu anahitaji na kuomba walau hata miatano tu? Ikumbukwe kuwa CHADEMA huwa wanasema wana wanachama zaidi ya millioni kumi.

Sasa kama kati ya wanachama zaidi ya milioni kumi wanashindikana kupatikana hata wanachama laki tano tu wa kuchangia elfu moja tu ili kupata million mia tano.je hamuoni kuwa chama hiki kinapika takwimu mara nyingi?

Hata zile kura alizopata Hayati Lowassa mwaka 2015,zilitokana na mgawanyiko uliotoka ndani ya CCM katika upatikanaji wa mgombea Urais. Hata katika ngazi ya ubunge mahali popote pale wanapopata ubunge CHADEMA huwa ni kura za wana CCM wenzetu wanaokuwa wamegawanyika nakupiga kura za hasira kwa upinzani kama sehemu ya kutoridhishwa wakati mwingine na jina linalokuwa limerejeshwa na vikao vya juu.

Lakini kama sisi sote Wana CCM Pamoja na mashabiki wetu na wakereketwa na wanachama kindaki ndanki tukiamua kupigia kura wagombea wetu,nawahakikishia CHADEMA na upinzani wote kuwa hakuna kiti kinachoweza kwenda upinzani kuanzia mwenyekiti wa kitongoji hadi ngazi ya Urais. Upinzani hauwezi kuambulia chochote kile.

Na kwa sasa wale Wana CCM wachache waliokuwa wanapiga kura za hasira kwa upinzani hasa CHADEMA wamejifunza na kujutia makosa yao kwa machozi na maumivu makali sana.wametambua kuwa walikuwa wanajikomesha wenyewe na siyo chama.maana wameona upinzani kazi yao ni kupinga kila kitu na kila jambo pasipo kumpigania mwananchi kwa lolote lile. Kwa hiyo huu mserereko na mteremko waliokuwa wakipata CHADEMA kwa sasa wasahau kabisa kuupata.maana kila mwana CCM amejilia kiapo cha kuipa kura ya ndio CCM Katika kila ngazi ya uchaguzi.

Naweka kalamu yangu chini na kuishia hapa. CHADEMA njooni Nataka tubishane kwa hoja na siyo makelele na matusi. Weka hesabu nami niweke hesabu. Weka takwimu nami nishushe nondo za uhakika. Raha ya CCM Ni kubishana kwa hoja na siyo matusi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Takwimu ya wanachama unaipata kupitia waliomchangia Lisu?
Hii ndo dhihirisho la uwezo wako wa kufikiri ulivyo mdogo sana!
Jambo la kuchangia ni hiari sio lazima wote wachangie! Kuhusu uteuzi wako sahau hilo! Kaombe uchangiwe na wanaccm wenzio ununue hata SAN-LG tuone hao walio wengi kama watakuchangia, zero kabisa wewe!
 
Attachments

  • IMG_8868.jpeg
    IMG_8868.jpeg
    60.5 KB · Views: 1
Siyo utoto bali nimeongea kitu cha ukweli ambacho hata wewe mwenyewe umeshindwa kujibu kwa hoja na kuishia kutapatapa tu. Hao mamilioni ya wanachama mnaosemaga mnao wapo wapi? Imekuwaje wakosekana hata laki moja tu wa kutoa buku buku nakifanya ipatikane million mia moja?
Narudia tena, kura hutolewa bila kutoa hata Senti Moja, hivyo wingi wa wafuasi kipimo chake sio michango ya hiyari. Sasa unaposema umesema kweli sijui unamaanisha nini? Kuna watu kibao ninao wajua hawajamchangia Lisu, lakini ukifika uchaguzi watampa kura.
 
Mambo ya chadema waachie wenyewe! Ukiona chadema ni nzuri na unahitaji mabadiliko ktk hiko chama basi chukua kadi kuwa mwanachama

Tulia na chama chako jenga chama chako, kosoa chama chako, kijenge chama chako!

Usingoje makonda aje akosoe ndio nawe utokeshimoni...!

Usingoje mwenyekiti wako aseme ndio nawe useme! Wakati huo akiwa kimya unamsifia ata kama amekosea!

Jenga chama chako, jenga taifa lako!

Chama chako kipo madarakani miaka nenda rejea, kina mapungufu kibao! Paza sauti kujenga nchi na chama

Kemea watendaji wazembe!

******
Wewe atakuwa mtendaji wanyumba kumi hakuna utafanya, ata ile kazi ya Anuani za makazi sijui kama ulifanya kwa ufanisi kwa namna unavyoishi katika hii platform!
👍
 
Ndugu zangu Watanzania,

Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu nayosemaga humu jukwaani kuwa CHADEMA imepuuzwa na inaendelea kupuuzwa na mamilioni ya watanzania kila uchwao.

Michago inayoendelea kuchangwa imeonyesha CHADEMA haina wanachama hai hata million moja tu.imeonyesha CHADEMA huwa wanapika takwimu ili kuwapofua macho na akili wafuasi wake kiduchu na wafadhili wao. Sasa kwa sasa tangia michango imeanza kuchangwa kwa ajili ya Lissu, CHADEMA na wana CHADEMA mpaka muda huu wameshindwa kufikisha millioni 30.

Sasa tizama mahesabu haya kutoka kwangu Mwashambwa Lucas kada kindaki Ndaki wa CCM.

Kama CHADEMA ingekuwa na walau wafuasi na wanachama hai hata laki tano Tuuuu yaani 500,000 na kila mwanachama akachanga walau elfu moja tu maana yake mpaka sasa ingekuwa imepatikana Million mia tano keshi. Yaani

500,000×1000= 500,000,000/=

je pesa hizi zisingetosha kununua gari analolitaka Lissu na chenji kubaki??

Kama CHADEMA ingekuwa na wafuasi Million moja na kila mtu akachanga walau shilingi mia tano maana yake ni kuwa bado Lissu angepata millioni mia tano keshi.

Sasa hao mamilioni ya wanachama ambao CHADEMA huwa inasema inao wengi kuliko wana CCM wapo wapi? Wamejificha wapi? Hawajaona na kusikia kuwa Lissu anahitaji na kuomba walau hata miatano tu? Ikumbukwe kuwa CHADEMA huwa wanasema wana wanachama zaidi ya millioni kumi.

Sasa kama kati ya wanachama zaidi ya milioni kumi wanashindikana kupatikana hata wanachama laki tano tu wa kuchangia elfu moja tu ili kupata million mia tano.je hamuoni kuwa chama hiki kinapika takwimu mara nyingi?

Hata zile kura alizopata Hayati Lowassa mwaka 2015,zilitokana na mgawanyiko uliotoka ndani ya CCM katika upatikanaji wa mgombea Urais. Hata katika ngazi ya ubunge mahali popote pale wanapopata ubunge CHADEMA huwa ni kura za wana CCM wenzetu wanaokuwa wamegawanyika nakupiga kura za hasira kwa upinzani kama sehemu ya kutoridhishwa wakati mwingine na jina linalokuwa limerejeshwa na vikao vya juu.

Lakini kama sisi sote Wana CCM Pamoja na mashabiki wetu na wakereketwa na wanachama kindaki ndanki tukiamua kupigia kura wagombea wetu,nawahakikishia CHADEMA na upinzani wote kuwa hakuna kiti kinachoweza kwenda upinzani kuanzia mwenyekiti wa kitongoji hadi ngazi ya Urais. Upinzani hauwezi kuambulia chochote kile.

Na kwa sasa wale Wana CCM wachache waliokuwa wanapiga kura za hasira kwa upinzani hasa CHADEMA wamejifunza na kujutia makosa yao kwa machozi na maumivu makali sana.wametambua kuwa walikuwa wanajikomesha wenyewe na siyo chama.maana wameona upinzani kazi yao ni kupinga kila kitu na kila jambo pasipo kumpigania mwananchi kwa lolote lile. Kwa hiyo huu mserereko na mteremko waliokuwa wakipata CHADEMA kwa sasa wasahau kabisa kuupata.maana kila mwana CCM amejilia kiapo cha kuipa kura ya ndio CCM Katika kila ngazi ya uchaguzi.

Naweka kalamu yangu chini na kuishia hapa. CHADEMA njooni Nataka tubishane kwa hoja na siyo makelele na matusi. Weka hesabu nami niweke hesabu. Weka takwimu nami nishushe nondo za uhakika. Raha ya CCM Ni kubishana kwa hoja na siyo matusi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkuu hivi unaweza kupima idadi ya wanachama wote wa chama chako kwa kuangalia mahudhurio na michango ya wanachama wenzio kwenye harusi au msiba wa mwanachama mwenzio???
 
Jazba limehama kutoka kuchangiwa michango ya kununua gari imehamia kwenye sensa ya wanachama wa CDM?Utapata tabu sana.😂😂😂
 
Hoja niliyoweka mezani ni ya kimahesabu na takwimu ,kwa hiyo kama unataka kujibu hoja basi weka hesabu mezani na siyo kupiga mayowe na Makele yako hapa kama mlevi wa gongo.
Chama changu cha CCM Tayari kipo imara na madhubuti sana na ndio maana kinaendelea kubeba matumaini ya watanzania na kupigiwa kura za ndio katika kila uchaguzi,pamoja na kuendelea kuaminiwa.

Nimeshasema hapa kuwa tubishane kwa hoja na takwimu.weka hoja niweke hoja. Hao wanachama wenu mamilioni mnaosemaga mnao wapo wapi? Wamejificha wapi?
Mkuu hoja yako sio sahihi kwa sababu hizi tatu:

1. Wazo na mchakato wa kununua gari hilo sio la chama.

2. Wazo na ombi hilo hapo juu halijatoka kwa Lisu mwenyewe,

3. Unatumia influence ya mwanachama mmoja ndani ya chama chake, kuhitimisha jumla jumla kuwa huo ndio ukubwa wa chama cha siasa.

Mkuu hoja zako zote toka hili jambo la hiyari na upendo limeanza mpaka sasa zimejikita on wrong premises.

Kwa ufinyu wako wa kupima na kuchanganua jambo badala ya kuona kuwa huo ni ushawishi wa mwanachama mmoja ndani ya chama chake, wewe unachukilia ndio kipimo cha ukubwa wa chama!

Kama kweli wewe ni sehemu ya wachambuzi wa mambo wa chama chako basi kuna shida, wamepigwa!

Mkuu kisaidie chama chako kwa kusimamia ukweli na sio sifa. Penye kuhitaji sifa stahiki sifia kwa haki, penye shida kosoa kwa haki.
 
Jazba limehama kutoka kuchangiwa michango ya kununua gari imehamia kwenye sensa ya wanachama wa CDM?Utapata tabu sana.😂😂😂
Maana imeonyesha wazi kuwa CHADEMA ni wapika data na hawana wanachama hata million moja tu.fikiria tu kuwa hata ikiwa wanachadema laki moja wangeamua kutoa elfu moja moja tu maana yake ni kuwa CHADEMA mpaka sasa wangekuwa wamepata millioni mia moja. Lakini bado wanatoka jasho utafikiri wameanikwa juani
 
Back
Top Bottom