Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Hivi unaandika 500,000/= halafu unahusanisha na idadi ya watu? ukishaweka alama ya /= mbele ya namba hapo unamaanisha ni fedha mkuu wangu
Mkuu seti tupu hiyo unapoteza muda wako empty headed!!
 
Wewe tangu umepakuliwa asali Yako baada kufungwa miezi 6 jela kwa kuuza sukari ya magendo akili hazijarudi mshukuru Sana yule diwani vinginevyo ungekuwa unapika na kutandika muda huu
Na hizi ndio akili zenu halisi wana CHADEMA nazozifahamu ,ambapo hoja ikiwashinda kujibu mnaanza kutukana matusi kama wagonjwa wa akili.
 
Ndg Lucas Mwashambwa anasubiri uteuzi awe mkuu wa wilaya au DAS
 
CHADEMA mmeshapuuzwa na Watanzania na ndio maana unaona hata michango inakwenda kwa kuchechemea.
Wewe huoni wananchi kupigika wa kulaumiwa ni serikali ya CCM iliyopo madaraka na sio Chadema? Kama watu wanapata mlo mmoja kwa siku watapata wapi hela ya kuchangia? 🤔
 
Wewe huoni wananchi kupigika wa kulaumiwa ni serikali ya CCM iliyopo madaraka na sio Chadema? Kama watu wanapata mlo mmoja kwa siku watapata wapi hela ya kuchangia? 🤔
Fanya kazi kwa bidii, maarifa na juhudi na kwa kujituma pasipo kuchagua chagua kazi kwa kusema mimi sijuwi ni msomi au sijuwi kazi ngumu. Wewe fanya kazii yoyote iliyo halali mbele ya sheria na mbele za Mungu
 
Hivi michango ndio njia sahihi ya kujua idadi ya wafuasi!?
Je kama wanachama wengine hawakuona umuhimu wa kuchanga!?
Mbona hii ni poor reasoning kabisa!?
 
sisiemu inawenyewe wewechawa piga mapambio tu hilo bando fungu la mchicha

Mnaumia sana Lissu akichangiwa na WaTanzania wema kwaa akili yako ndogo unafikiri hiyo michango ni wanachama wa Chadema
Akili za kuvunja chawa jamaa
CCM ni kusanyiko la watu wajinga haswa
 
Fanya kazi kwa bidii, maarifa na juhudi na kwa kujituma pasipo kuchagua chagua kazi kwa kusema mimi sijuwi ni msomi au sijuwi kazi ngumu. Wewe fanya kazii yoyote iliyo halali mbele ya sheria na mbele za Mungu
Kazi unazosemea zinahitaji sera nzuri za kiuchumi zitakazowezesha mzunguko stahiki wa pesa nyambafu wewe.
 
Nani kakudanganya? ni mama mwenye watoto watatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…