Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Kwani kumchangia Lissu apate gari ni initiative ya Chadema au wananchi wapenda haki na tunda lake, amani?
 
Mimi nimeweka hoja kwa takwimu safi kabisa na hesabu rahisi sana ambazo ni rahisi kuelewa hata kama wewe ni mbumbumbu wa hesabu. Kwanini CHADEMA huwa mnadanganya watu? Hao mamilioni ya wafuasi wenu wapo wapi ikiwa mnashindwa kuchanga hata buku buki tu hapo mkiwa laki moja tu inapatikana millioni mia moja ndani ya muda mfupi.lakini hata million 30 tu mmeshindwa kufikisha lakini mwili mzima mmejaa jasho la kuomba michango kwa watu.
Dishi limeyumba na uteuzi HUPATI
 
Hivi michango ndio njia sahihi ya kujua idadi ya wafuasi!?
Je kama wanachama wengine hawakuona umuhimu wa kuchanga!?
Mbona hii ni poor reasoning kabisa!?
Unamaanisha hamjaona umuhimu wa Lissu kuwa na gari la kufanyia kazi harakati za kukijenga chama? Una maanisha mmempuuza Lissu na kutoona umuhimu wa kumchangia? Kweli CHADEMA mmechanganyikiwa kabisa
 
Unamaanisha hamjaona umuhimu wa Lissu kuwa na gari la kufanyia kazi harakati za kukijenga chama? Una maanisha mmempuuza Lissu na kutoona umuhimu wa kumchangia? Kweli CHADEMA mmechanganyikiwa kabisa
Nahisi kichwani una matatizo ya kifikra jamaa.
Kwahiyo ushaniweka CHADEMA kwa kuchangia uzi na kutoa maoni!?
Je kila anayehudhuria kanisani hutoa sadaka!?
Embu nipe jibu ya hilo swali kwanza,maana cocept ndogo tu washindwa kuing'amua.
Wapo wanachama walioona kuna manufaa kuchangia ila wapo wanachama walioona kuwa hilo jambo la gari la Lissu limekaa kibinafsi zaidi.
Tumia ubongo wako vizuri kijana/mzee.
 
Nyie UWT ni lini mlichangia ndani ya siku 2? CDM wanataka haki, nyie huwa mnachangisha wakuu wa idara na taasisi pamoja na wafanyabiashara kwa nguvu
Anashindwa kutofautisha chama kinachoendeshwa na mfuko wa serikali 100% (CCM) na chama kinachojikongoja chenye (vyama vilivyobaki vya siasa ikiwemo CDM).
 
Kubuni hoja acheni kupiga mayowe yenu hapa. Si huwa mnasema mna wanachama wengi? Sasa mbona hawaonekani hao wanachama huko waliko? CHADEMA imepuuzwa na kususiwa na watanzania.
Hata kuandika tu hujui. Kubuni hoja ndio nini?
 
Back
Top Bottom