Uchaguzi 2020 TBC, sasa tumewachoka kwelikweli, mnachochea hasira kubwa msiyoweza kuizima

Naona una kichwa kigumu sana. Nimekwambia kitokuishabikia CCM hakufanyi Ni conclude kwamba wewe Ni jobless, ila hata mashudu unayozidi kuyaandika unaponiquote, yanadhirisha status yako kimaisha.

Siku zote hakuna ambaye huwa anawafanyia intimidation, mnajihisi hivyo kwasababu wengi wenu ni watu waliofeli maisha na hakuna kingine Cha kuwafariji zaidi ya kuisukumia serikali upumbavu wenu.
 
Utajuaje kama agenda ni kuiuwa. Mimi hata sikumbuki tena hata namba yake. Siifungui kabisa
 
Ameua 'FAST JET' ambayo nauli yake Dar - Mwanza ilikuwa sh elfu 70, sasa kwa haya mandege yake ya kinyonyaji ni sh laki 4 !!!
 
Hoja zangu za kijinga hizi kauli za kejeli ndio zenye akili? Nikikuambia mpumbavu nakosea? You will never intimidate anybody
Sasa kwani swala la TBC kutumia Kodi za huyo niliemquote Ni uongo?😃 Kijana usipanick.

NB:Nakukumbusha tu,acha kuishi kwenye ndoto za wenzako,tuna muda mchache Sana hapa duniani.
 
Upumbavu wako wewe unayetaka tufurahie ujinga, wewe umefanikiwa nini kama siyo mpumbavu tu? Wote wanaoipinga serikali ya CCM wamefeli kimaisha? Pathetic fool
 
Tofauti kubwa ya binadamu na wanyama wengine ni ubongo wake wenye uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu kwa miaka mingi na kipaji chake cha kuweza kuchanganua mambo.

Unajiuliza ni muda gani umepita tangia TBC wafukuzwe hadharani na viongozi wa CDM mara hii watu washasahau; surely binadamu wa kawaida anauwezo wa kuhifadhi kumbukumbu zaidi ya muda huo.
 
Mliwafukuza mlizani.mmefukuza chuma sio binadamu?
Rudini kwenye jukwaa kisha muwaombe msamaha kama mlivyowafukuza.
Nyie si ni wazee wa kutetea haki ya habali mnaogopa nini?
Fungueni midomi yenu kwa akiri kabla ya kukwaza watu.
Pale walifurushwa sabb walikuwa hawatangazi, walikuwa wanafanya UNAFIKI tu
 
Ni sawa kabisa. Lakini limewakwa doa katika vazi jeupe na hivi kutovaliwa. Kuna wakati kutwa nzima ni misafara ya ccm tuu. Bora wangejiunga kipindi ambacho mheshimiwa anatoa hotuba ingetosha. Sasa hadi watu wakinengua wanaweka live. Inachosha.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Umesema hufuatilii, sasa una comment nini hiki?
"No research no right to speak"

Katiba inasema Tanzania ni nchi ya vyama vingi.. Tbc wanatumia Kodi za wananchi wote, lkn wanafanya coverage ya ccm pekee, what a nuisance!!!
Yaani una arguments za kitoto😁😁😁😁 huna point yoyote ila naiona jazba kuu kifuani mwako😂😂 Polee
 
Pale walifurushwa sabb walikuwa hawatangazi, walikuwa wanafanya UNAFIKI tu
Busara ingetumika sio kila kitu ni kushupaza shingo kwa sababu watu watashangilia... Chadema kimejaza wakora ndio shida inaanza apo.
 
Mliwafukuza mlizani.mmefukuza chuma sio binadamu?
Rudini kwenye jukwaa kisha muwaombe msamaha kama mlivyowafukuza.
Nyie si ni wazee wa kutetea haki ya habali mnaogopa nini?
Fungueni midomi yenu kwa akiri kabla ya kukwaza watu.
Pale walifurushwa sabb walikuwa hawatangazi, walikuwa wanafanya UNAFIKI tu
Mkuu unatoa wapi muda wa kuangalia TV asubuhi mpaka jioni?
TBC wanalipwa na pale wako kazini na Magufuli ni bosi wao. Huwezi kupika pilao ukaacha watoto wako hawajala ukaita wa majirani
Wewe hujui Kama ile ni TV ya umma, na wala siyo ya magufuli?!
 
Mzee umekwazika sana ila Mwenyekiti alivowafurusha kama mbwa ulishangilia si ndio ...wabongo kwa kijiona wanajua bwana.
ACT, CUF na vyama vingine nao pia waliwafurusha?

Na kabla ya tukio hili TBC iliwahi kuwapa coverage wapinzani?

Kwa nini kila anayezungumzia haki mnamuona kuwa ni CHADEMA, je mwananchi asiyekuwa na chama hawezi kusemea haki?
 
Upumbavu wako wewe unayetaka tufurahie ujinga, wewe umefanikiwa nini kama siyo mpumbavu tu? Wote wanaoipinga serikali ya CCM wamefeli kimaisha? Pathetic fool
Narudia Tena, sio wote wanaoipinga serikali ya CCM wamefeli maisha, wapo waliofanikiwa Ila kwa haya mashudu unayoandika, wewe hauwezi kuwa miongoni mwao.

NB:Nakushauri tena, acha kuishi kwenye ndoto za wenzako.
 
Kuanzia asubuhi hadi jioni umegundua wanarusha ccm tu! Aisee TV unaiangalia ndugu yangu.
 
Hatulalamiki juha wewe, aliwafukuza bila sababu ya msingi? Hata kama una ushabiki wa kipumbavu basi kuwa na hekima hata ya kuazima. Ni haki kwa chombo kinachoendeshwa kwa kodi za umma kugeuzwa kuwa kituo cha CCM?
Sasa mnalipia airtime au mnataka mrushwe tu, mnajifanya kujua kama yule mlemavu kumbe ni mabogas tu.
 
ACT, CUF na vyama vingine nao pia waliwafurusha?

Na kabla ya tukio hili TBC iliwahi kuwapa coverage wapinzani?

Kwa nini kila anayezungumzia haki mnamuona kuwa ni CHADEMA, je mwananchi asiyekuwa na chama hawezi kusemea haki?
Huwa unaangalia habari au unaleta porojo tu apa.
 
Sasa mnalipia airtime au mnataka mrushwe tu, mnajifanya kujua kama yule mlemavu kumbe ni mabogas tu.
Bogas ni wewe, na unadhihisha kuwa ni bogus kwa kejeli dhidi ya aliyejeruhiwa na watu bogus. Kweli inajulikana kuficha kweli unaonekana wewe ndio bogus, niambie ni lini wewe umeenda kukagua TBC kuwa ni CCM tu wanaolipia airtime na vyama vingine havilipii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…