Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
+ , Tunyande.Tawaqal
Zainabu
Masiah
M Sleeping Coach
Matema Beach
Scandinavia Express
Kiswele
Executive
Hood ltd
Safina
Embakassy
Lupelo
Sayuni
Ni kweli kabisa mpaka sasa sijaona kampuni iliyofikia viwango vya juu kama hawa jamaa. Pale head office yao Kamata ukifika utadhani umeingia airport ndogo [emoji12][emoji12]
Hii Chombo nilikuwa naipanda Dar+Tunduma enzi hizo kuna mabasi kama Hekima, Sabco jamaa walikuwa wanatembea sana, au Arusha -Mbeya via Chalinze
Da pole sana ilikuwa mwezi gani kamanda, ila miaka ile mabasi yalikuwa yanatembea barabara haikuwa na magari mengi na traffic walikuwa maeneo machache sanaSabco sina hamu nayo na siwezi sahau ile ajali ya 2007 pale Chimala nilikuwepo na nikampoteza rafiki yangu
Da pole sana ilikuwa mwezi gani kamanda, ila miaka ile mabasi yalikuwa yanatembea barabara haikuwa na magari mengi na traffic walikuwa maeneo machache sana
Nilitoka mwezi Sept kuja Dar pole sana aiseeMwezi wa 10
Hood muasisi wa ruti ya Arusha-Mbeya dereva Makata saa 7:30 mchana Marcopolo inapita Moro gereji inafanyiwa checkup fasta saa 8:00 alasiri inatembea kuelekea Mbeya au Arusha saa 4 usiku mwisho wa safari
Mkuu Ruvuma tours line walikuwa ni hawa ndugu sajda, kangaulaya na makeo!!!! Daaaa watu wanapambana. Nadhani enzi hizo alikuwa ni mzee wao maana sahizi hao sajda, kangaulaya na makeo ni watotoRuvuma line tours walianza miaka ya 90 wakiwa na Kia(chai maharage) wakipiga ruti Songea- Peramiho, Kisha Songea-Mbinga, wakaongeza DCM kadhaa wakati huo wakijulikana kama Sadi movement . Walivyoendelea kukua waliongeza ruti ya Songea- Mbeya. Mtaji ulivyokua waliachana na ruti hizo wakaanza ruti ya Dar -Songea wakitumia jina la Ruvuma line tours mwanzoni mwa miaka ya 2000. Ushindani wa ruti hii uliwashinda wakarudi ruti zao za Songea- - Mbinga, to Mbambabay, Tunduru wakitumia majina ya Sajda, Kangaulaya, nk. Mpaka leo wamekomaa na ruti za Kyle tu
Vijana wengine ni shidaaa enzi hizo tuko sekondari kuna madogo walichukua Bus la baba yao linaitwa LANG'ATA BUS (Trip za Arusha to Dar) wakaja nalo shuleni aiseeee... Hii kampuni enzi hizo ilikuwa inachuana na NGORIKA BUS..
Ruvuma line tours walianza miaka ya 90 wakiwa na Kia(chai maharage) wakipiga ruti Songea- Peramiho, Kisha Songea-Mbinga, wakaongeza DCM kadhaa wakati huo wakijulikana kama Sadi movement . Walivyoendelea kukua waliongeza ruti ya Songea- Mbeya. Mtaji ulivyokua waliachana na ruti hizo wakaanza ruti ya Dar -Songea wakitumia jina la Ruvuma line tours mwanzoni mwa miaka ya 2000. Ushindani wa ruti hii uliwashinda wakarudi ruti zao za Songea- - Mbinga, to Mbambabay, Tunduru wakitumia majina ya Sajda, Kangaulaya, nk. Mpaka leo wamekomaa na ruti za Kyle tu
Zainab Volvo b7Zainabu zile Volvo zilisumbua sana. Baadae akazinunua Shabiby
Kweli kabisa, enzi hizo Kila anaetoka Dar anakuja na mkate wa bofloHuu uzi ujengewe mrana wa kumbukumbu kwa ajili ya vizazi vijavyo na reference mbalimbali
Ndo ujue miamba ilikuwa msalaMchana??? Walikua wanapaa au?
Umesahau Majira na Father Caplitani mabasi ya waburushi nayo yalikuwa yakienda Usangu.+ , Tunyande.
Happy Nation(hili linastahili lingeitwa basi la mashindano).
Na kwa wakazi wa Mbeya kulikuwa na basi maatufu sana,likipiga roote za Mbeya mjini kwenda Rujewa lilitwa "Hot bolt,Mukufwana mukungeta".