GE2025 TEC: Ewe Mungu, Tuma Roho wako, afanye upya uso wa Nchi kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa nini uhitaji fictional character kwenye kazi unayoweza kuifanya mwenyewe?

You are not crippled, why do you need the clutches of a fictional character?
 
Kwa nini uhitaji fictional character kwenye kazi unayoweza kuifanya mwenyewe?

You are not crippled, why do you need the clutches of a fictional character?

Mass mobilisation needs tools. In this case social symbols, one of which is God.

Ndio maana unaona habari ya kuabudu ekaristi. Whether Yesu yumo au hayupo that is bracketted. The significance of the eucharist is what matters to many
 
What do you mean by mass delusion? And how does that concept interface with ideological thinking, for example?
Mass delusion = Kujitengenezea Mungu ambaye hayupo ili kuweza kupambana na hali yako na yenu wakati mnaweza kupambana na hali yenu bila kumuhitaji huyo Mungu wa kutengenezwa.

Especially because Mungu is not just any fictional character, he is the center of peoples lives and beliefs. Wengine wanaweza kumuomba Mungu na kumuachia afanye kazi yake wakati Mungu hayupo in actuality, kazi hiyo wanatakiwa kuifanya wao. This is a big difference from a Chinua Achebe authored fictional character.

Ideological thinking does not need fictional characters. Marx developed Marxim based on actual class differences and struggles, without needing a fictional character.

Engels wrote "The Condition of the Working Class in England" in 1845, this is about the actual conditions of the actual working class, without needing a fictional character.
 

Under Marxism UTOPIA is a fictional character just as the so called the KINGDOM OF GOD is a fictional place.

And I suggest that reality is composed of brute facts falling under ontological realism plus social facts falling under social realism.

On this view money our currency is a social fact, which is real and not an illusion. So too socially constructed gods are social facts not illusions.

So the terminological part of your explanation has nuances to be ironed out so as to bring about terminological clarity.
 
Mass mobilisation needs tools. In this case social symbols, one of which is God.

Ndio maana unaona habari ya kuabudu ekaristi. Whether Yesu yumo au hayupo that is bracketted. The significance of the eucharist is what matters to many
Mnapinga vipi utawala dhalimu wa dunia hii kwa dini ambazo zina contradictions nyingi sana za kusema kila utawala wa dunia hii umeruhusiwa na Mungu, kwa dini zenye aya za kusisitiza focus kwenye uzima wa milele mbinguni na kwamba hapa duniani tunapita tu, kwa aya ambazo zina contradictions nyingi sana, hapa unaambiwa maneno ya kukufariji na kukuwezesha kujipambania, kwa kufuata makuhani waliopinga watawala dhalimu, hapa unapewa aya za kukwambia shukuru kwa kila jambo na kila utawala umewekwa na Mungu?

Unawezaje kupambana na utawala dhalimu kwa kutumia dini ambayo ina aya zenye contradictions hivi?

Huoni kwamba unapoambiwa ushukuru kwa kila jambo na kila utawala umewekwa na Mungu hapo dini inaweza kutumika kama nyenzo ya watawala kukufubaza uwezo wako wa kujipigania?

Kwa mtu anayeamini Mungu na uzima wa milele, kwa nini ajihangaishe na mapambano ya dunia hii ya mpito wakati hapa duniani si nyumbani kwetu, tunapita tu, makao yetu ya kudumu ni kwa baba mbinguni kwenye uzima wa milele?

On this, why should one not accept, for example, the Jehovah Witnesses' position of detachment from politics, voting etc and just focus on the afterlife?
 


Mtu anapigwa albadiri
 

Scriptures have many good themes, isolated controversial verses aside.

For example the Bible has one of the best meta narratives ever known. It stretches across heaven and earth

Well it is like a double edged sword. It can be used to justify an evil regime and oust another.

In the present case MISA NA. 30 in the Roman Missal does not give a damn to any evil regime.

Just read it fully
 
Mfa maji. Kwanza nyie tunawachukia kama nini. Makafiri tunajua ni wapagani. Hakuna mkristo atakayeenda mbinguni never. Njoo uislam kabla kiama hakijawadia

Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kujiunga na Dini ya mtu anayeonesha ana stress, desperate na hatred this way. Yaani hapa tu unaonesha Dini au Imani uliyo nayo ndo shida. Na huyu aliyeandika hivi si mpagani bora na mpagani. Huyu ni MUUMINI WA IBILISI MWENYEWE KABISA. WAPAGANI NA WAKRISTO WAPO NA HAWATAKI KABISA KWENDA KUZIMU UNAKOTAKA KWENDA.
 
Mimi ni mkatoliki, Father Kitima anatukwaza wengi katika ukatoliki wetu kudhani kwamba hisia zake za kisiasa zinawakilishwa na kanisa zima.

Kuiombea nchi ni kitu chema sana lakini lengo likiwa na uhusiano na siasa za kuipinga CCM kana kwamba wote makanisani tuna kadi za CHADEMA au tupo nae kihisia, kwa kweli hapo anatukosea.

Alipinga uwekezaji wa DP World bila ya kujua kwa kina ni kipi kinachokwenda kufanyika. Hivi sasa bandari inaingiza mabilioni ya pesa kwenye hazina, yeye na wote wenye mitazamo hasi wapo kimyaaa kabisa.

Alipata aibu kwa kuutafsiri vibaya mkataba na akaisoma tafsiri hiyo potofu makanisani!!, baadae ikaja kutangazwa tender ya uendelezaji wa bandari ya Bagamoyo. Ile ilikuwa ni aibu kwake na bahati nzuri kwenye nafasi za kanisa hakuna suala la kiongozi kujiuzulu, alipaswa aachie ngazi kwa kupotosha mamilioni ya wakatoliki kwa suala ambalo halielewi vyema.
 
Is Utopia essentially a character or a proposed idea? If I grant you that we can entertain pure ideas as characters (I am struggling to find the idea of a haunting silence as a character in a movie. Perhaps we should define what a character is).

If Utopia is attainable, but we just did not perfect the means to atttain it, is that still a fictional character? Or does it seem fixtional because we simply haven't attained it?

I am aware that money and currency are manufactured realities. In fact evwn the ideas of corporations and nation states are manufactured realities. Dr. Harari talks extensively about this in "Sapiens: A Brief History of Humankind" and "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow". Money solve problems that would be hard to solve otherwise. Money holds value, is a unit of account, it is a unit of exchange.

Corporations and nation states do the same.

Outside of mass ignorance, the God idea is irrelevant. It is only relevant because of human ignorance and penchant for superstistious mass delusion.

Why are you entertaining that idea instead of eradicating that ignorance?
 
So why are you using a mental model that is essentially self contradicting while you can totally avoid it and focus on an examination, narrative and model that is logically consistent and/ or at least tries to avoid self contradiction?
 
Na bado ,Kanisa takatifu katoliki la mitume limeanza kazi, mtajaa tu kwenye mfumo.

Damu za watu mlizozimwaga zikanene juu ya familia zenu
 
Bado hawajasema Hadi waseme 😁😁

Bahati nzuri Mungu hafanyii kazi mambo ya wanafiki au mnafiki wanampigania aliyeko jela.

Hadi Sasa wanaendelea kuumbuka Kila walilopanga limeshindikana and so wakampige Mungu Sasa.

TEC wanatakiwa kuelewa kwamba Mungu ndio kamuweka SSH kuwa Rai Hadi 2030 na hawana Cha kufanya zaidi ya kukubaliana na Hali halisi na kumuomba Rais na Nchi na si ego zao.
 

Questions about transcendetal reality fall under metaphysical, soteriological and axiological ultimate realities. The concept GOD when personified is very close to these three realities combined. No sane human being can do away with such a struggle ultimate realities, call it whatever. So understood we can speak of a UTOPIAN GOD, CHRISTIAN GOD, and so on. It is just difference in naming.
 
For the past sixty years of independence we have been struggling to craft an alternative meta narrative of TANZANIANISM. How far have we succeeded? The christian meta narrative stands at the top of comparison so far. Give me an alternative and I shall abandon it today
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…