Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Nakumbuka sana jinsi askofu MWAMAKULA,na askofu SHOO walivyokuwa wakikabiliana na nduli bila woga, kanisa katoliki ni sawa tu na bakwata kwa ccmMi nachokaga hapo tu, sikuwahi kuwasikia awamu ile ila sasahivi hadi pini ikidondoka watatoa waraka hawa jamaa ni wanafki sijapata kuona
π€£π€£π€£π€£ katiba gani mkuu?? Huu uzi una shilingi nzuri iokoteHili taifa haliendeshwi kikatoliki linaendeshwa kikatiba
Acha utapeli wako huo, hayo ni mawazo yakoNani kakudanganya Vatican ni zaidi unavyo fikiri
Tena sio kwa Barua wala Muhtasari wawaambie watu wao wajitokeze hadharani kuionyesha nchi hasira yao wakristo hawajawahi kuwa serious ni propaganda tupuWajitokeze hadharani tuwasikie wote siyo unaleta umbea wako usio na chanzo zaidi ya uzushi wako
Haitasaidia chochote ndugu imhoKwahiyo tutarajie Waraka anytime?
Siku ukiujua ukweli utakuwa huruAcha utapeli wako huo, hayo ni mawazo yako
Nikweli kabisaNakumbuka sana jinsi askofu MWAMAKULA,na askofu SHOO walivyokuwa wakikabiliana na nduli bila woga, kanisa katoliki ni sawa tu na bakwata kwa ccm
Unafiki mtupuKanisa Moja Takatifu la Mitume
Kwanini?Haitasaidia chochote ndugu imho
Badala ya kujibu comment yangu unazungumza mengine!!Ndio maana kuna Bunge wabunge wakikubali nchi imekubali watu kama nyie kipindi cha kampeni hamsikilizagi sera mnaletaga ligi oooh mbele kwa mbele yakiwafika shingoni mnatuletea zozo tumewachoka
Si kweli ,kipindi kike haukusikia waraka wa pasaka?Mi nachokaga hapo tu, sikuwahi kuwasikia awamu ile ila sasahivi hadi pini ikidondoka watatoa waraka hawa jamaa ni wanafki sijapata kuona
nimeamua nikuweke wazi ili usiwe unauliza vitu ambavyo ulivisababishaBadala ya kujibu comment yangu unazungumza mengine!!
Lakini pia halipaswi kuendeshwa kijingaHili taifa haliendeshwi kikatoliki linaendeshwa kikatiba
πππUnafiki mtupu
wewe wasemaLakini pia halipaswi kuendeshwa kijinga
Muujiza ukatokea, sanamu ikacheka sana kisha ikakata kichekoNaona sasa ni muda wa nyoka kutoka shimoni....
Awamu ile watu walipokuwa wanapotezwa walikuwa wako kimya kweli.
Wengine walifunga hadi safari kwenda magogoni kupeleka zawadi za sanamu ya bikira Maria.