Tetesi: TEC haifurahishwi na mwenendo wa Serikali kuhusu makubaliano ya bandari na DP World

Hao ni wanafiki, mbona wakati wa hayati Magufuli yalifanyika kama haya na hata mabaya zaidi kama mauaji na ukatili wa akina Sabaya lakini mwendo wao ilikuwa ni "kuunga juhudi mkono".??

Hatutaki cheap politics, divi

Sasa wao kama kanisa walipoteza moral authority; na itabidi wafanye kazi kubwa sana kuirejesha.

Ukiondoa individuals wachache; kama akina askofu Bagonza, Mwamakula, Niwemugizi, Shoo na sheikh Ponda viongozi wengine wa Dino walionyesha rangi zao. Leo hatuwezi kuwapa nafasi, they must work hard to earn it.
 
TEC nfiyo mdudu gani?
 
Rejea kile alichozungumza Padre Kitima ( PHd) leo na kipo kwenye mitandao ya Kijamii.

NIMELETA ANDIKO HILO NIKIWA NA % ZAIDI YA 90 KWA NAMNA IMANI YANGU KWA CHANZO NI YA HAKIKA!

Kwalo, hata jua halikuchwea na kwa NAMNA PADRE KITIMA ASIVYO MNAFIKI - KAKISEMEA.
 
Asante sana mungu akupe baraka na Busara zaidi
 
Ndio maana kuna Bunge wabunge wakikubali nchi imekubali watu kama nyie kipindi cha kampeni hamsikilizagi sera mnaletaga ligi oooh mbele kwa mbele yakiwafika shingoni mnatuletea zozo tumewachoka
Shida ya kusoma quraan na kudhani unaweza kuongoza sehem Kwa weledi
 
Na Katiba hio hio inatoa Uhuru wa kuabudu na Uhuru wa Maoni, hapo vipi kwani ikiongozwa kikatoliki ndio itazuia Bandari isiuzwe ?!
Mwisho wayote Bunge ndio watanzania woote likikubali ndio tayali Democracy imetumika nionyeshe tec itasaidia nini hapo
 
Hili taifa haliendeshwi kikatoliki linaendeshwa kikatiba
Ukatoliki unakunyima raha, eeh?? Pole sana ndugu, lakini hata wewe unaruhusiwa kufanya mafundisho na kubatizwa uwe mmoja wao!
 
Ukatoliki unakunyima raha, eeh?? Pole sana ndugu, lakini hata wewe unaruhusiwa kufanya mafundisho na kubatizwa uwe mmoja wao!
Nchi hii imebakiza vichaa wachache sana wanofuata hizi dini zamajahazi
pole ndugu yangu
 
Nchi hii imebakiza vichaa wachache sana wanofuata hizi dini zamajahazi
pole ndugu yangu
Kaa na upagani wako ukijidanganya we ndo uko sahihi!! Ukitarajia utitiri wa watu tulivyo diniani sote tuwe na akili duni kama yako umenoa!!
 
Naona sasa ni muda wa nyoka kutoka shimoni....
Awamu ile watu walipokuwa wanapotezwa walikuwa wako kimya kweli.
Wengine walifunga hadi safari kwenda magogoni kupeleka zawadi za sanamu ya bikira Maria.
Watu wangapi waliopotezwa kwa idadi?
 
Kaa na upagani wako ukijidanganya we ndo uko sahihi!! Ukitarajia utitiri wa watu tulivyo diniani sote tuwe na akili duni kama yako umenoa!!
Mnajifanya watu wamungu kumbe unafiki mtupu mahilizi machale matakataka yote mnayo ninyi mnaojifanya waenda peponi huwezi kuta mpagani kaanguka mapepo hililitakua laajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…