Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
UKIAMUA KUFANYA JAMBO LAKO HAKIKISHA UNALITENDEA HAKI, PIA USIANGALIE MANARA AU DR. MWAKA KWA SABABU HAO HAWAKUWA TAYARI NA HAWAKUMAANISHA KUISHI NA HAO WAKE 4, INATEGEMEA UMEJIPANGA VIPI.Utamaliza hao wanne kama hujaweza kuwa mume bora watakukimbia mmoja baada ya mwingine. Au kama una hela watabaki kula hela yako ila uwe na uhakika kuna njemba zinajipigia. Wapi Dr. Mwaka? Wapi Manara!!
Dawa ni kukataa ndoa tu, hahaUmeongea kuonyesha wanawake ndio mara zote ukataa kutoa utamu
Wakati naamini kuna wanaume pia wanawabania wake zao wakisingizia wamechoka
Lawama zote kwa mwanamke❌
Wanawake wakizaa tu upendo unagawanywa mara mbili, mume anaweza kupewa hata robo, them robotatu inahamishwa kwa watoto. Unadhani wanaume wote wanaolalamika hawawaweki wake zao vizuri?Kama mke anakataa basi tatizo lipo kwako umkuni vizuri/ hasikii raha
Tokea lini mtu akakataa kusikia raha?
Twende gym babe🤣
Una uhakika ukimuweka anasikia raha anasikia utamu?Wanawake wakizaa tu upendo unagawanywa mara mbili, mume anaweza kupewa hata robo, them robotatu inahamishwa kwa watoto. Unadhani wanaume wote wanaolalamika hawawaweki wake zao vizuri?
Kwa umri wake hawezi kuelewa ulichoandika.Wanawake wakizaa tu upendo unagawanywa mara mbili, mume anaweza kupewa hata robo, them robotatu inahamishwa kwa watoto. Unadhani wanaume wote wanaolalamika hawawaweki wake zao vizuri?
Sio tu anasikia raha, anasquirt kabisa, ushawahi kwenda Bukoba? zile guest zao anaweka nylon kwa sababu gani..Una uhakika ukimuweka anasikia raha anasikia utamu?
Basi nimekubali wewe ni legend🙌Sio tu anasikia raha, anasquirt kabisa, ushawahi kwenda Bukoba? zile guest zao anaweka nylon kwa sababu gani..
Ukiweka kundi la wanawake 50 tu mbele ya wanaume 100 wenye afya timamu ya uzazi na ukawaambia tu kuwa jamani hawa ni kwa ajili yenu jioni ya leo ni mashoga wasiozidi wawili pekee ndio wanaweza kutoka hawajakojoa hata bao moja hapo!Umeongea kuonyesha wanawake ndio mara zote ukataa kutoa utamu
Wakati naamini kuna wanaume pia wanawabania wake zao wakisingizia wamechoka
Lawama zote kwa mwanamke❌
Basi hakikisha anakupa experience ya kufika kibo. Mi najua below 30yrs wengi hata kufikishwa hawajui ni kitu gani, ni experience wanayopata waliopevuka kiumri na kihisia.Aisee sijawahi ila kuna kijana namsikilizia🤸
Ninakuona kama ulisoma UDSM.Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo.
Ukweli wenyewe wanandoa wengi hawapati tendo kama walivyokuwa wanafikiria kabla ya kuingia kwenye ndoa. Lakini ni ngumu na aibu kubwa kulalamikia mambo haya kwanza unatoa wapi huo ujasiri wa kusema haupewi na mtu umelala naye kitanda kimoja!
Unakuta kabla ya ndoa mambo yalienda kwa kunyooka. Ila sasa mkioana tu ndo konakona zinaanza visingizio vingi vya hapa na pale haviishi. Mara kichwa kitasingiziwa kuumwa mara tumbo nk. Inafika wakati unaona isiwe kesi nawewe unapotezea au ikibidi unaenda kula mchepuko au malaya huko kitaa maisha yanaendelea.
Mkiamka asbh wanazengo wanajua nyinyi ni wenza na mnaishi kwa furaha amani na utulivu.
Kuna ndoa nyiingi zina staili hii ya maisha ya kinafiki maana unakuta ndio tena mmezaa, mna assets kibao za pamoja na watu wengine hawawezi tu maisha ya kuoa na kuacha kila uchao inabidi tu ufe kiume na tai shingoni. Acha maisha yaendelee.
Itakua unalosema lina ukweli sababu nilikua nasikia hilo tendo ni raha unajihisi upo paradiseBasi hakikisha anakupa experience ya kufika kibo. Mi najua below 30yrs wengi hata kufikishwa hawajui ni kitu gani, ni experience wanayopata waliopevuka kiumri na kihisia.
Endelea kunifunga kamba!! 🤪Itakua unalosema lina ukweli sababu nilikua nasikia hilo tendo ni raha unajihisi upo paradise
nilivyotest nimeona ni uongo mtupu bora huo muda nitumie kunywa urojo nisikie utamu
I've told you my heartEndelea kunifunga kamba!! 🤪
Mama yako hakukwambia unatakiwa kutunza ubikira wako?Itakua unalosema lina ukweli sababu nilikua nasikia hilo tendo ni raha unajihisi upo paradise
nilivyotest nimeona ni uongo mtupu bora huo muda nitumie kunywa urojo nisikie utamu
Watoto wa siku hizi tunasikia sasa?Mama yako hakukwambia unatakiwa kutunza ubikira wako?
Mzee swala la bikra tuliweke kando kwa sasa, tuongelee chini ya watano kabla ya ndoa!Mama yako hakukwambia unatakiwa kutunza ubikira wako?