Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

Polepole alikua aliliwa kichwa hapa ndani ndugu wanasema alirudi na watu wa mfumo na machawa wanasema hakurudigi alikua uko nje (bwana ima inajulikana yupo ndani na akiliwa kichwa ni simple kusema alitoroka kama tetesi kumbe kashapotea ndani apa
Waswahili walisema wasiwasi ni akili, kweli tunaweza kudanganywa yupo nje kumbe yupo ndani
 
Nakubaliana na wewe ila hakupaswa kuondoka haraka, alikuwa na uwezo wa kujiweka salama.
 
Kuamini hili ni ngumu mpaka yeye mwenyewe ajitokeze kuongea na wananchi
 
“Nami nawaambia ninyi rafiki zangu, msiwaogope hao wauuao mwili, kisha baada ya hayo hawana wawezalo kutenda zaidi."
— Luka 12:4 (Biblia Takatifu)

waTanganyika mmekuwa waoga hadi mkawa kama mazombie

hatukuja duniani kukaa milele
Unaondoka kabla hujashinda.
Acha kutumia maandiko ndivyo sivyo,
We fikiria Yesu angeondoka mapema wakati mdogo, mission haijakamilika anaondoka!

The same applies to Polepole,
Unaanza vita kizembe bila kumaliza, ni heri asingeanza kabisa.
 
Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa

Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
Inaitwa ''run for survival to fight another day''

Naunga mkono Mh.Nchimbi kuondoka nchini, unlike PolePole ambae Kwa kweli alifanya uzembe sana kuwepo nchini.

Huyu Nchimbi ataishi, na uenda atasaidia sana harakati za kuyaondoa haya ma-boko haramu yanayokunywa damu za wadanganyika.

Wasaliti wa Tanganyika tutashughulika nao baada ya ukombozi kamili, tuko pazuri sana uku Lissu kule Nchimbi...Samia hatoki nje ya Africa wala hakai ndani, fire 🔥 ndani nje.
 
Nakubaliana na wewe ila hakupaswa kuondoka haraka, alikuwa na uwezo wa kujiweka salama.
Yeye alikuwa na jukumu la kuwasanua waTanganyika kuhusu yanayoendelea katika nchi yao. Na alitegemea hata kama atatekwa na kuuawa WANANCHI wacharuke kudai ukombozi wa Taifa lao. Aliji-sacrifice kwa ajili ya wengi. Shida waTanganyika wamelogwa. wako kama maiti. waoga wanaotanguliza matumbo mbele.

kutoweshwa kwa Humphrey Polepole kulitosha kuwe sababu ya ukombozi wa Taifa, na vuguvugu hilo lilipaswa lianzie hukohuko ccm (maana tunaamini wamo wazalendo pia) japo wameamua kuwa mandondocha
 
Inaweza ikawa sawa ama si sawa, kwa sababu alifika wakati akawa anajitapa hapa ni wapi, akimaanisha yupo Tanzania na watu wanamwambia hayupo.
 
Jamaa ni mafia kuwapita,zile ziara zake msoga na zenji ilikuwa kuwapoteza dira, huku nyuma alikuwa anahamisha familia, na barua ilipotoka alikuwa yupo Canada tayari, bravo 👏 👏 Nchimbi
Wewe kweli ni lipumbavu mbulung'weng'we yaani zoba bichwa limejaa mavi unaongea upumbavu kama ulivyo libumunda kabisa la vijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…