Mwenge wa Taifa ukipita unatuchoma akili zetu kabisaaaYeye alikuwa na jukumu la kuwasanua waTanganyika kuhusu yanayoendelea katika nchi yao. Na alitegemea hata kama atatekwa na kuuawa WANANCHI wacharuke kudai ukombozi wa Taifa lao. Aliji-sacrifice kwa ajili ya wengi. Shida waTanganyika wamelogwa. wako kama maiti. waoga wanaotanguliza matumbo mbele.
kutoweshwa kwa Humphrey Polepole kulitosha kuwe sababu ya ukombozi wa Taifa, na vuguvugu hilo lilipaswa lianzie hukohuko ccm (maana tunaamini wamo wazalendo pia) japo wameamua kuwa mandondocha
Heri afanye hivyo wasimpolepole≥ Na kama atakuwa bado nchini basi atakuwa zoba na zwazwa la mwaka. Hata hivyo, hata wakipolepoleana sawa tu kwa vile wote ni maCCM. Vita ya kunguru, neema ya panzi kkkk.Mwenge wa Taifa ukipita unatuchoma akili zetu kabisaaa
Dah!Hii ni tetesi
Wewe umefanya research kujua ukweli wa tetesi
Jamaa yupo Canada now
Huyu sio fala kama polepole anaechezea simba sharubu kumbe yupo ununio tu hapo
Kwa mfano pole pole angekuwa smart , wasingemdaka, Hawana akili wala technologie
Nchi is smart i can trust his gestures
HP alikuwa na utoto mwingi , hakujua kuwa mbwa wenzie wapo serious watamla
Katiba mpya lazima ije CCM watachagua wenyewe
Utulivu au kuvurugana
Tena alikuwa akidunda kwa raha zake kwenye ardhi ya mola utadhani mwana arts 😆😆😆😆😆Polepole alikuwa mzembe sana,
Huwezi kuropoka vile halafu upo, unazunguka tu unavyotaka.
Una uhakika ana roho mbaya?Kwani, kwa akili yako Bandekile ni Mungu wakati ni msanii wa kiroho mwenye uroho na roho mbaya kama wengine?
Kwa hiyo hii ni chai yenye viungo vikali.Inawekanaje aondoke kimyakimya bila tisii kujua?. Ikizingatiwa wanamlinda 24/7
Naona Wanamtandao na Zanzibar Gang wanakutumia bila kujijua kueneza uongo usio na ushahidiTetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa
Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
'Boot kuu'Siyo eti HPP alikuwa na utoto mwingi hapana. Kilichomponza ni wasaliti walimtanguliza mbele akiwaamini.
Yani mzee butiku'Boot kuu'
😃😃Yani mzee butiku
Mungu hajawahi kulinda mtu yeyoteMUNGU ametupa akili pia za kujilinda.
Yeye kutulinda, haimaanishi kwamba sisi tusijilinde.
Hata Yesu mwenyewe aliondoshwa kwanza kukwepa Panga la Farao, kwa watoto wadogo wa kiume.
Uzi wa Malcolm Lumumba?Kuna Uzi uliletwa hapa uliongelea yajayo baada ya uchaguzi kwamba kutatokea mtafaruku mkubwa na makamo wa rais atakimbia nchi
Na watazidi kusalitiana na mwisho wote wataanguka naomba anayeukumbuka aulete hapa tujikumbushe maana naona picha Kama ilivyo
Na hizo simu alizokua anapigiwa na Warioba siku ya aliyojiudhuru na alipokea je alipokea akiwa nje?Jamaa ni mafia kuwapita,zile ziara zake msoga na zenji ilikuwa kuwapoteza dira, huku nyuma alikuwa anahamisha familia, na barua ilipotoka alikuwa yupo Canada tayari, bravo 👏 👏 Nchimbi
Unayetumiwa ni wewe kumbaff. The Father of All siyo wa kutumiwa bali kutumia. Kama kutumiwa dili basi katumiwe wewe unayejituma utumiwe. Mbona huko nyuma hukuwa hivyo???Naona Wanamtandao na Zanzibar Gang wanakutumia bila kujijua kueneza uongo usio na ushahidi
Askofu kasemaje ?Nani mkweli kati ya wewe na Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula?
Kamuulize au mtafiti. kwani lazima kila kitu ufanyiwe? Mie huwa siamini mafisi wanaojiita wachungaji waliowageuza mazwazwa makondoo.Una uhakika ana roho mbaya?
Kamfanyia nani roho mbaya?
AMEFUKUZWA UANACHAMA NCHIMBI VILIO WANATOA WAZEE WA KANISA KINA WARIOBA...HATARI SANA
Ngoma inogile!Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa
Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.