Ni tetesi Ndugu usichukulie KiviileNani kasema hafi?
Tunachowaambia acheni propaganda za kijinga
Na Leo Netanyau ana press nyingine
Mnataman sana afe kama Gaidi Ayatollah
Iran Haina uwezo wakuua hata balozi wa nyumba kumi wa Israel
Toka Ulipo lalaGaidi ni Ayatollah anayefadhili magaidi
Kama Khamenei ni gaidi, so is Netanyahu, msitake kupaka mavi rangi!!Kwa hio unakubari kwamba Khamenei ni Gaidi? Sema hapana halafu tuendelee
Nimekuuliza wewe unasema Khamenei ni Gaidi si ndio?Kama Khamenei ni gaidi, so is Netanyahu, mistake kupaka mavi rangi!!
I have no proof mkuu, ila huwezi kumuweka Netanyahu kwenye category ya watawala wazuri, how much blood has he shed hadi umsafishe kiasi hicho.Nimekuuliza wewe unasema Khamenei ni Gaidi si ndio?
Amewaua raia wa nchi yake waliofanya maandamano?I have no proof mkuu, ila huwezi kumuweka Netanyahu kwenye category ya watawala wazuri, how much blood has he shed hadi umsafishe kiasi hicho.
Kuwa gaidi ni kuwauwa raia wako tu, ukiuwa binadamu wasio na hatia wewe sio gaidi?Amewaua raia wa nchi yake waliofanya maandamano?
Iran inajititimua tu ila inapigika hasa. Kwa sasa hata ceasefire ikiwepo tayari kapigika vya kutosha.Kwasasa Iran kivyovyote iwe Netanyahu kafa au bado yupo !!!
bado Iran itaendelea naVita tu mpaka kieleweke tukumbuke chimbuko lote ni kuhusu PALESTINE
Sio Netanyau tu.
Ni ya AISo ile video clip Aliyopost kuwa anaongea ni AI kweli !? š
Kwani osama aliua raia wa nchi yake mpaka akaitwa gaidiAmewaua raia wa nchi yake waliofanya maandamano?
Kwanini.Mimi sitaki vita iishe
Waziri wa mambo ya nje wa Iran anaulizwa kuwa, Iran ilisema ina makombora yanayofika US, mbona hawayarushi? Anajibu kuwa kushambulia bases za US inatosha kabisa. Hawa watu ni waongo sana.Propaganda za kitoto
Pro Iran wameuliwa viongozi wao karibu wote ,Motjaba anajificha
Hivo wanataman sana Waue hata balozi wa nyumba kumi wa Israel kitu ambacho Iran hana uwezo nacho
ili kujifariji wanazusha Netanyau kafaš¤£
Amejitokeza wanasema ni AI
Kwa hio unamaanisha nini na wewe ni gaidi au?Kwani osama aliua raia wa nchi yake mpaka akaitwa gaidi
Acha kukaza fuvu khamenei gaidi Netanyahu gaidi
Wote MAGAIDI
ni ruksa kuniita hivyo ukitakaKwa hio unamaanisha nini na wewe ni gaidi au?
Wanaonewa huruma ila hawajihurumii, mimi nawahurumia sana Iran Wazee unajua mtu mwingine anaweza akawa ananiona km nakua tofauti ila huruma yangu ni kwa Iran sababu anapambana na Jitu na yeye ni Kijitu, sasa nikifikiria hapo naona nakosa kabisa cha kusema na watu wanaipump Iran kwamba ina nguvu oya ikishapasuka hawa hawa watu ndio wataanza kulia kwamba Iran inaonewaWaziri wa mambo ya nje wa Iran anaulizwa kuwa, Iran ilisema ina makombora yanayofika US, mbona hawayarushi? Anajibu kuwa kushambulia bases za US inatosha kabisa. Hawa watu ni waongo sana.