Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

Waziri mkuu wa Israel yupo salama kabisa.
 
Watu wahuni sana, eti Khamenei ni gaidi ila Netanyahu anayeuwa kila siku anapigania taifa lake.
Member wa Jf tuna ubishi waajaabu umemuelekeza vizur tu ila alikuwa anakaza fuvu
 
Netanyahu ni mzima wa afya, amekanusha uvumi kuwa kafa
 
Iran inajititimua tu ila inapigika hasa. Kwa sasa hata ceasefire ikiwepo tayari kapigika vya kutosha.
Iran kubwaaaa sn kieneo utapiga milima ukija mijini zaidi kuna vijumba tu !!!

sasa Israel tunashusha Magorofa marefu. Yumkin ukweli unaujua.!!!
 
Iran kubwaaaa sn kieneo utapiga milima ukija mijini zaidi kuna vijumba tu !!!

sasa Israel tunashusha Magorofa marefu. Yumkin ukweli unaujua.!!!
 

Attachments

  • Screenshot_20260309-171052_Instagram Lite.jpg
    102.2 KB · Views: 19
  • Screenshot_20260309-171246_Instagram Lite.jpg
    95.5 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260309-171007_Instagram Lite.jpg
    87.3 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…