Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

Anaweza kufa pia kama wa Iran alivyouwawa, mabomu si yanatua pia Israel? Lolote linawezekana ndo maana hakai kizembe zembe.
Iran hana intelejensia ya kuua hata balozi wa nyumba kumi wa Tel Aviv
 
Reactions: Tsh
Hata kama ameuwawa hajafa kizembe kama Ayatollah Khomeini

Yaani makelele yote Yale
Unaliwa kichwa dk ya kwanza tu

Ni aibu sana
Ayatollah hakutaka kukimbia kifo ndiomana kafia kwenye Ikulu yake inayotambuliwa. Mbona uyu Dogo mtoto wake mmeweka pesa$$💰 Mezani!! Dogo kijana bado anataka kupambana

Mzee Ayatollah miaka 87 kutembea na Gongo bado ulitaka akimbie kufa Shahidi!! Ili akafie kitandani.!!

TRUMP na Netanyahu
kimsingi wamekosa maarifa ya kiuwongozi so wameuziwa mbuzi kwenye gunia. Kizembe zembe!!

Nukuu Mzee Ayatollah miaka 87 !!!

Bado Wazungu mnawasujudia kwa Akili izi.
 
Kama mabomu yanatua ndani ya Israel, na yupo ndani ya Israel inawezekana kutokea.

Kiintellejensia hiyo taarifa haiwezi kuwa na ukweli wowote.

Huwezi mpiga kiongozi mkubwa wa nchi kama Israel au Marekani kwa kurusha rusha makombora hovyo.

Lazima uwe ma target, muda sahihi na silaha inayoweza kufanya kazi hiyo kwa weledi.
 
Kama mabomu yanatua ndani ya Israel, na yupo ndani ya Israel inawezekana kutokea.
Kwamba ni wajinga kama viongozi wa Iran?

Iran hata kuua balozi wa nyumba kumi wa Tel Aviv haiwezi
 
Reactions: Tsh
Kiintellejensia hiyo taarifa haiwezi kuwa na ukweli wowote.

Huwezi mpiga kiongozi mkubwa wa nchi kama Israel au Marekani kwa kurusha rusha makombora hovyo.

Lazima uwe ma target, muda sahihi na silaha inayoweza kufanya kazi hiyo kwa weledi.
Na sio kuwa na silaha tu, lazima uwe na intelejensia ya hali ya juu
 
Kiintellejensia hiyo taarifa haiwezi kuwa na ukweli wowote.

Huwezi mpiga kiongozi mkubwa wa nchi kama Israel au Marekani kwa kurusha rusha makombora hovyo.

Lazima uwe ma target, muda sahihi na silaha inayoweza kufanya kazi hiyo kwa weledi.
Ya kwamba Iran anarusha makombora hovyo hovyo.
Ww jamaa una ujuaji mwingi mpaka unaharibu.
 
Waislam huwa wepesi sana kuamini matango pori na uongo. Ndio maana muddy aliwaweza.
 
Naona unamtetea shoga yako NYAU
Maana wote mmekutana wazee wa LGBTQ
 

Wacha weeeee..... Tuanze kushangilia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…