Mkuu wale wanachama walioongea Jana nimewwaelewa sana..pale Simba Kuna viongozi kadhaa ni wapigaji wanakula pesa ya mo Bure tu ..watu wamepitia utajiri kupitia mo Bure kabisa pale Simba, unafikiri hata huyo hersi hapigi ila anapiga kwa akili na anakumbuka malengo ya timu na pia anafanya kwa ajili yake kujijengea jina na CV Hana tamaa Wala ulafi na pesa za harakaharaka kama Hawa wa simba ...eti wamemwondoa magori huyu niliejua ndio alijitahidi sana kwenye sajili zilizopita wamemueka huyo mjinga mwingine ..Ina mana hakuna creative mind people Simba die hard wengine? Bodi Ile Ile majina hayo hayo ..🚮Simba kuna Upumbavu mwingi sana.
Kamati Ya usajili ikiongozwa na Try Again
Pale wasipotoka wapigaji wanaojulikana itakua hivyo hivyo miaka nenda Rudi...Bora hata magori amejitahid nafas yake...huyo mjinga mwingine aliepewa kusajili ndio sajili zake za akina sawadogo..ngoja kwanza kelele za wanachama ziwe nyingi
Mechi za mwisho mwisho za Simba Mutale alicheza vizuri na alikua anajituma, akipewa muda atafanya makubwa.Joshua Budo mutale SGR.
Is here to stay.
Viongozi wamekubaliana apewe muda.
Simba ina viongozi vichaa
Yan Hadi fadlu ameamua kuingilia kati mana ameona huu ujinga Sasa...Hii timu shida ni viongozi, kila mtu ana interest zake, ni ngumu wote kukubaliana jambo moja. Yanga mwenye kusimamia na kutekeleza mipango ni Hersi tu, ndio maana wanafanikiwa. Hakuna miruzi mingi kama Simba.
Umemaliza mkuuIli Simba irudi kwenye ubora wake inahitaji wachezaji wapya:
(1). Mabeki wenye nguvu na spidi -3
(2). Viungo wenye accurate passes -2
(3). Washambuliaji wenye spidi -3.
Mambo ya pira biriani mara samba yamepitwa na wakati, control na spidi ndo habari mpya. Mfano mzuri ni PSG.
kuwapata ni Gharama,Ili Simba irudi kwenye ubora wake inahitaji wachezaji wapya:
(1). Mabeki wenye nguvu na spidi -3
(2). Viungo wenye accurate passes -2
(3). Washambuliaji wenye spidi -3.
Mambo ya pira biriani mara samba yamepitwa na wakati, control na spidi ndo habari mpya. Mfano mzuri ni PSG.
Yan mbinu za fadlu ndio zinatakiwa kutumika..lazima sokoni uwe agrresive...mtu umekalisha matako ofisin unataka 10% za Bure tu unachelewesha sajili muhimu unaremba remba pumbavu..Yan Hadi fadlu ameamua kuingilia kati mana ameona huu ujinga Sasa...
Garama kwa mo? Mana Simba ni mo na mo ni Simba ..pesa zote zinatoka kwake..jumlisha na zawadi za CAF na ligi kuu nafasi ya pili. .kuwapata ni Gharama,
Mueleze mueleze boya huyo.Tatizo ******* ******* kama wewe hamwezi kuisha,misimi miwili iliyopita ilikuwa hivi hivi wachezaji wa kimataifa wazuri hawazidi 4 kwenye 12, sasa hivi unasema unajua mipango ya usajili wa hizo timu wakati zinaonekana?kwani huoni Singida na Azam walivyo?acheni kuwa ******* ******* kusifia ujinga
Wanayataka wenyewe na ujanja wao wa kutafuna pesa ya MO kirahisi. Sajili wanachama million 10 tu kila mmoja alipe kiingilio TZS 50,000 na ada ya kila mwezi TZS 10,000. Ingefanyika hivyo miaka miwili iliyopita hata Mabululu mwaka jana angesajiliwa Simba wala asingeenda Libya achilia mbali Morilae Syilla kwenye usajili wa mwaka juzi. Swali rahisi kwa nini viongozi wa Simba hawataki kusajili wanachama wapya wakati kuna watu kibao wanataka kuwa wanachama kwa udi na uvumba? Na kwanini viongozi wa Simba wameamua kupambana na wananchama/mashabiki wanaosema ukweli wakina MO, Mnandi, Mwarabu wa Simba, Aggy Simba na Mwakilima kwa kuwatumia wanachama wao machawa wakina Kisugu, GB 64, Mzaramo, Pasi Milioni, Shabani Mpira Pesa na machawa wengineo? Hao machawa ndio wanaendelea kuididimiza Simba badala ya kuisadia.kuwapata ni Gharama,
Mkuu, hapa ni kama umetoa Tetesi ya Tetesi zako. Tupe majina specific Mkuu.Usajili wa kishindo unakuja. Ni mb zako tu
We jamaa! Ulitaka timu ipate mafanikio kupitia ubahili/umaskini?kuwapata ni Gharama,
Na sio tu shirikisho kuna pesa mabilioni yapo mifukoni kwa watu wanaotaka kuwa wanachama kwa nini hawaandikishi wanachama wapya. Mbona hesabu rahisi sana. Viongozi upande wa wanachama bure kabisa kila siku wanalalamika hawana sauti kwa sababu hawana hela wakati wangeweza tu kuandikisha wananchama kwa uchache hata millioni 10 tu ingetosha. Mwekezaji MO aje na pesa zake na wao viongozi upande wa wanachama waje na pesa zao wakutane katikati mambo yangekuwa mswano.We jamaa! Ulitaka timu ipate mafanikio kupitia ubahili/umaskini?
Soka la kisasa linahitaji uwekezaji wenye gharama kubwa. Na Simba imevuna pesa za Shirikisho.
nlivosema kuwapa gharama nlimaanisha ni ngumu Mo kuweka pesa kuchukua wachezaji wenye gharama kubwa, ye huchukua wa bei nafuu kwa mfano Ateba wa bei chee,We jamaa! Ulitaka timu ipate mafanikio kupitia ubahili/umaskini?
Soka la kisasa linahitaji uwekezaji wenye gharama kubwa. Na Simba imevuna pesa za Shirikisho.
No hela za babaake..mpaka kikao cha familia kikaeGarama kwa mo? Mana Simba ni mo na mo ni Simba ..pesa zote zinatoka kwake..jumlisha na zawadi za CAF na ligi kuu nafasi ya pili. .
huu mfumo ndio wa kisasa hata mie natamani tufike hukoNa sio tu shirikisho kuna pesa mabilioni yapo mifukoni kwa watu wanaotaka kuwa wanachama kwa nini hawaandikishi wanachama wapya. Mbona hesabu rahisi sana. Viongozi upande wa wanachama bure kabisa kila siku wanalalamika hawana sauti kwa sababu hawana hela wakati wangeweza tu kuandikisha wananchama kwa uchache hata millioni 10 tu ingetosha. Mwekezaji MO aje na pesa zake na wao viongozi upande wa wanachama waje na pesa zao wakutane katikati mambo yangekuwa mswano.
Huyu fadlu angeingilia angekuja ..ndio Yale Yale umekaa ofisin unataka mchezaji ..ndio hivyo kaasajiliwa kwingineSouleymane Coulibally anaweza kusaini Simba