Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Ushauri mzuri sana, lakini je Bonge la Dada atauelewaa?
 
"Simba wamekamilisha usajili wa beki wa kati wa JKT na timu ya taifa ya Tanzania, Wilson Nangu (23)

Nangu amesaini miaka miwili na Simba hivyo msimu ujao atavaa jezi nyekundu.

Nangu anaweza kucheza kama Beki wa kati (center back) na beki wa pembeni wa kushoto (Leftback).

Yes! Wilson Nangu is now Red".

Ameandika Mchambuzi Hans Rafael kupitia ukurasa wake wa Instagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…