Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Karai mi4 tena na 3 MALOGO yupo wasiwasi wa nini?
 
Wewe kumbe umeliona mimi mpaka ni waone wakiwatambulisha na kuwakubali mpaka wacheze mechi tano za ushindani ndipo nitawakubali,hizi nyingine ni biashara za kuwapandisha thamani wachezaji wao, wanahonga waandishi kwa ajili ya kutengeneza uvumi.

Unaweza ukakuta wakala anafanya hivyo ili Shabalala alipwe signing fee kubwa na timu yake ya sasa, mshahara mkubwa na mkataba wa mda mrefu sababu anajua mchezaji wake age imeenda.
 
Ana miaka mingapi zimbwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…