Kila kitu kiko Sawa kwa Simba ila mpinzani wake amemzidi safari hii,tatizo itakuwa liko wapi upande gani hapo kwenye timu yenu mkuu 😀 😀 😀 😀 😀
na nyie wazee wa kumaliza msimu bila kombeTumewazoea wazee wa dili limeingiliwa kati,bwembwe za usajili ,mechi za kimataifa zikianza mwisho makundi
ngoja tuone msimu ujao kaka itakuwaje 😀 😀Kila kitu kiko Sawa kwa Simba ila mpinzani wake amemzidi safari hii,
Ila simba haina tatizo.
Hata nye mlikaa miaka hiyo hiyo bila kombe,Mwaka huu tunachukua,Ibenge yupo kupunguza gap,bifu lenu na ibenge halijaisha mtamtunuku points 6 za wazina nyie wazee wa kumaliza msimu bila kombe
sawa hayo ni maneno ya mkosaji na nitaendelea kukupiga kila msimuHata nye mlikaa miaka hiyo hiyo bila kombe,Mwaka huu tunachukua,Ibenge yupo kupunguza gap,bifu lenu na ibenge halijaisha mtamtunuku points 6 za wazi
feisal akiuzwa bongo yanga ipate 1B vipi kama atauzwa kwa 800 million?. usikubali kufanywa kichaa, hakuna terms za kibugusa kama hizo.Nenda kamsikilize Zaka za kazi, utajiridhisha.
Hata mimi lile swala la mkataba uliopo baina ya Yanga na Azam kuhusu kuuzwa kwa Feisal nilidhani viongozi wetu (wa yanga) wanatupanga tu.
Ila nilipo msikiliza kwa makini Zaka za kazi ndipo nikaamini maneno ya viongozi wa Yanga.
Amini na kwambia hakuna club ya Tanzania inayoweze kulipa Billion 2 kwa mchezaji mzawa.
Kama Simba munayaweza tuonyesheni.
Kwani Yanga waliwahi kukuambia wamemsajili huyo mchezaji ili awasaidie kwenye kufunga magoli na kutoa assist? Mbona unapenda sana ubishi usio na ulazima wowote ule!Hoja sio "nguvu kubwa kwenye assist na magoli"
Hapa hoja ni kweli Aucho aliwahi kkumaliza msimu paspokuwa na assist wala goli? Hapa tunataka kufanya tathmini ya msimu mmoja tu sio mechi 55 ambazo Conte amecheza.
Ndio mana nimemuuliza au nauliza alieona mkataba halali wa huyo mchezaji aupige picha aulete hapa ili tusome kipengele Cha bilioni 2 wasiniletee habari za yule media journalist puppet wa yanga...Hans na genge lake ..nikiona tu huo mkataba na kusoma hiko kipengele Cha bilioni 2, ndio niulize Sasa kua kwanini anadhani timu inayomtaka haiwezi kutoa hizo bilioni 2.bilioni mbili mbona nyingi mno hizo
Kwahyo una guarantee Gani usajili wa uto kwa hao wachezaji wote kina ecua, kouma n .k utalipa?Naipenda sana Simba lakini ni ukweli mchungu unaousema... kwa mateso tunayopitia kila msimu mpaka nione kombe ndio nitaamini kama tumesajili vizuri. Karibia ni msimu wa tatu sasa Mashabiki wa simba tunafurahia wakati wa usajili lakini mambo yanageuka mwisho wa msimu.
Hao jamaa wanavyotumia nguvu kumtetea jamaa yao....😂Kupitia vyanzo vya Sofascore, FBref, na FootyStats nimejaribu kuangalia stats za Busquets katika mechi 27 yani nusu ya mechi alizocheza Balla Conte. Hapa sijataka kwenda mechi 55 kufanya uwiano sawa.
Mechi Tarehe Mashindano Assist vs D.C. United May 18 MLS 1 vs Atlanta United May 29 MLS 1 vs Monterrey Apr 11 CONCACAF Champions 1
Tafiti zinaonesha Busquets hakupata goli lolote kwenye mechi 27 ila alifanikiwa kupata assist 3.
Niliporudi kwa Ngolo Kante naye kwenye mechi 27 alikuwa na goli 4 pamoja na assist 3
Mechi Ambazo Alipata Magoli
- vs Al-Riyadh – 1 goli
- vs Al-Ettifaq – 1 goli
- vs Al-Qadsiah – 1 goli
- vs Al-Orobah – 1 goli
Mechi Ambazo Alitoa Assist
Kwa hiyo bado hujani convince nikashawishika na hoja zako kufafanua kwanini kitendo cha mechi 55 kwa mchezaji wa ndani kutokuwa na goli wala assist isiwe uzembe?
- vs Al Kholood – 1 assist
- vs Al-Hilal – 1 assist
- vs Belgium (UEFA Nations League) – 1 assist
Mbona kwenye maelezo ya ile barua inaonesha huyo Sowah amesajiliwa simba kwa mkataba/makubaliano maalum!! Imekaaje hii!!Hata Masanza alikua anakaza Sowah hawezi kununuliwa hapa bongo, mwisho wa siku wamekuja na swaga za kua ameenda simba kwa makubaliano maalumu. Soka letu kivyetu vyetu
Kwa hiyo tushike lipi sasa! Ameshasajiliwa, au ndiyo tusubiri mpaka mkataba wake uishe?Mkataba wa Azam na Fei si wa milele, utakwisha na ataamua analotaka iwapo ni kubaki Azam, kucheza Yanga, kwenda Simba, Pamba au popote.
🤣Hata nye mlikaa miaka hiyo hiyo bila kombe,Mwaka huu tunachukua,Ibenge yupo kupunguza gap,bifu lenu na ibenge halijaisha mtamtunuku points 6 za wazi
Hatujui mkuu. Hizi ni bla bla kijiweni hatujajua uhalisia ni upi.Kwa hiyo tushike lipi sasa! Ameshasajiliwa, au ndiyo tusubiri mpaka mkataba wake uishe?
Ni namba ngapi huyuMohammed Bajaber ni mnyama
Ni wingaNi namba ngapi huyu