Andy Boyeli ni Mchezaji mzuri mno
Kuwa na akiba ya maneno
Huyu anakuja kumweka bench Dube kumbuka na Mzize anauzwa na Musonda ameondoka laZima viongozi wafanye replacement za maana
wanadai kwamba wanadeal na Nike
Sowah alikataa mwenyewe. Hakukuwa na jinsiHuwezi muacha sowah then ukaenda sajili hili garasa
Kama n mkongoman basi tusimkatie tamaa mapema, ngoja tumuone akiwa uwanjan ndipo tujudgeBoyeli ni hatari kumbuka Andy Boyeli ni Mkongomani na hawa watu Huwa wana enjoy kucheza Tanzania
Hao akina na Sowah ni wachezaji wa Ghana na Nigeria Kwa miaka hii hawajielewi na wajuaji mno, hizi timu zetu Zinawataa mno
Duh ..hii chuma ya wapi hii...sio neo huyu ...View attachment 3427157
Who is this?
Huo uzi ni mkali mkuu otherwise mtu awe amezoe kununu mablauzi ya karumeNisiwe mnafiki Jezi ya Simba imetulia sana 🙌
Wasiuchafue kwa matangazo ya MoHuo uzi ni mkali mkuu otherwise mtu awe amezoe kununu mablauzi ya karume
Siyo yeyeDuh ..hii chuma ya wapi hii...sio neo huyu ...
Hahaha nshamjua ...😁😀,...mchezaji akija Simba ndio wanaanza kumdiscuss nidhamu mbovu ila angeenda kwa frogs FC Wala usingesikia , watu tushakua na wachezaji watukutu akina boban, akina Morison waliovua Hadi nguo uwanjani ila walipiga shuhuli na makombe tukachukua , ndio itakua huyu alieng'oa tu kibendera Cha Kona tu... 😂..SIZITAKI MBICHI HIZI FC...Siyo yeye
hiyo tattoo ni ya Jonathan SowahView attachment 3427157
Who is this?
Jipige panga la kichwa...Asa sowah ndo mtu wakumficha ficha?
Ikiuma chomoaAsa sowah ndo mtu wakumficha ficha?
Jamaa una dharau sana.Asa sowah ndo mtu wakumficha ficha?
Mbona kama ameanza na utovu wa nidhamu, kamkosea heshima huyo aliyemuita Ababaa.
Timu hizi si MAADUI mkuu ..si ndivyo.wanavyotakaMbona kama ameanza na utovu wa nidhamu, kamkosea heshima huyo aliyemuita Ababaa.