Ninechukua kombe la ligi mara 31...wewe una mangapiRank za Club bora Africa Simba ni top 5 ya vilabu bora na Yanga haijawahi kuwa.
Sema ni nini umewahi kufanya ambacho Simba haijawahi kukifanya.
Una taji Gani ambalo Simba Hana?Wanaoteseka ni wale wasiobeba taji lolote lile, timu nayoshabikia imebeba taji sasa kinitese kipi?
Sasa sijaona mtu yeyote wa hyo timu akicomment km kateseka zaidi ya wazee wa nyuma mwikoWanaoteseka ni wale wasiobeba taji lolote lile, timu nayoshabikia imebeba taji sasa kinitese kipi?
Muda ni rafiki mzuri sana.takataka hiyo hamnamo mtu humo
Wanakwambia hawataki kujua kauzwaje wao wanataka B1 yao akiuzwa.na wao wenyewe wanaamini kwamba kuna sell-on clause inayotaja kiasi cha pesa badala ya asilimia. Let's say fei kauzwa million 800 hiyo Bil 1 inatokaje?
Kombe la ligi wote tumewahi kuchukua. Sema jambo ambalo umewahi kulifanya Simba haijawahi. Mm nimesema rank za club bora Africa Simba imeingia top 5 na Yanga haijawahi......Ninechukua kombe la ligi mara 31...wewe una mangapi
Kumbe mataji huwa yanatolewa mawili mawili ndani ya msimu mmoja, sikujua hilo. Kwahiyo bingwa wa NBC premier league msimu wa 2024/2025 ni Yanga na SimbaUna taji Gani ambalo Simba Hana?
Kunywa supu ya ngamiaKombe la ligi wote tumewahi kuchukua. Sema jambo ambalo umewahi kulifanya Simba haijawahi. Mm nimesema rank za club bora Africa Simba imeingia top 5 na Yanga haijawahi......
Ndio inavyotakiwa kama wengine hawawez kazi , wanatuletea sawadogo mara koublan, Valentino mashaka, karabaka, omary omary ..hizo hela zote walizochezea wangekusanya na kuleta chuma Cha hatari kimoja tu Cha asec ..WTFDuuh huyu kocha sajili zake zisipo click msimu huu sijui atawaambia nini watu. Kapewa mamlaka makubwa sana kwenye usajiri.
Akianza kuwahangaisha msiseme GSM anaharibu ligiMchezaji wa kawaida sana ni Level za Akina Guede
Manzoki hamumtaki tena?Account ya Simba SC instagram yamfollow FeiView attachment 3428040
Subiri wacheze ujue mbivu na mbichiMkuu Jadda Sajili ya 3 muda huu mbovu ..uzur nakuaga nasema straight. Ya kwanza morice mbovu, ya pil semfuko sjui mbovu, ya tatu hii ya mkenya .
Hamna kitu hapo ..penye ukweli tutasema ...itakua wa ten pasenti wamegawana wachezaji na kocha...Subiri wacheze ujue mbivu na mbichi
Sasa wewe hayo makombe 31 umewahi kuyafikia!?? au ranking ni kikombe !?? Bado unaona upo sahihi kujidai Kwa ranking??Kombe la ligi wote tumewahi kuchukua. Sema jambo ambalo umewahi kulifanya Simba haijawahi. Mm nimesema rank za club bora Africa Simba imeingia top 5 na Yanga haijawahi......
Wewe na pyramid nani anafaa kujidai manake km ranking umemzidi na robo final wewe unazo nyingi lkn yeye ana kombe.Sasa wewe hayo makombe 31 umewahi kuyafikia!?? au ranking ni kikombe !?? Bado unaona upo sahihi kujidai Kwa ranking??
Azam wakimpeleka Fei Simba kwa mkopo hiyo bil 1 wataichukua kwenye ndoto.na wao wenyewe wanaamini kwamba kuna sell-on clause inayotaja kiasi cha pesa badala ya asilimia. Let's say fei kauzwa million 800 hiyo Bil 1 inatokaje?
Mi nashangaa unavyosema hamna kitu ilhali hujamuona akivheza aubkosa lake ni kuwa anatokea Kenya?....😂Hamna kitu hapo ..penye ukweli tutasema ...itakua wa ten pasenti wamegawana wachezaji na kocha...