Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Yaani.... Akiona atapiga ukunga mkubwa sanaaa na kupiga ukuta ngumi kwa hasira kali....Mudi Baja akitembelea huu uzi ataomba kuterminate mkataba na Simba chap kwa haraka
Mosses OdhiamboOngeza na Mark Sirengo
Akiitwa Sasa hivi atakosa sifa ya kushiriki CHANKwa Nini baada ya CHAN!??
Ingekuwa mnaangalia hvyo basi wachezaji wazuri wasingekuwa wanasajiliwa kutoka ligi za matopeni ..hata hao kina Ronaldo , Messi , wametokea ligi za chini from zero to heroKwani ligi ya kenya si inaonyeshwa Azam au hauangaliagi jombii!?..
Kwakweli😂Mudi Baja akitembelea huu uzi ataomba kuterminate mkataba na Simba chap kwa haraka
Swali Zuri sanaaana wao wenyewe wanaamini kwamba kuna sell-on clause inayotaja kiasi cha pesa badala ya asilimia. Let's say fei kauzwa million 800 hiyo Bil 1 inatokaje?
Kama kombe tunayo yakutosha na kama ni gap la fedha na makombe jiulize simba imechukua pesa za CAF mara ngapiNinechukua kombe la ligi mara 31...wewe una mangapi
Matusi ya nini mkuu...basi nyie ni Bora na hakuna zaidi yenu hapa Tanzania.Mwehu huyo anateswa na supu ya ngamia ila kule utopoloni kuna vijana wajinga sana sampuli ya yule alielia kwenye harusi ya ali kamwe 🚮
Tusi liko wapi hapo?Matusi ya nini mkuu...basi nyie ni Bora na hakuna zaidi yenu hapa Tanzania.
Nani huyu mkuu.View attachment 3430178
Kama nilivyoripoti awali
Mohamed DoumbiaNani huyu mkuu.
Mousa DoumbiaNani huyu mkuu.
Bado. Kuna watu wako CHAN, hawatatangazwa harakaMkuu Hichilema naona sajili.za Simba zimeisha.
Bado kusajili waganga na marefa...saiv na arajiga here we go.Mkuu Hichilema naona sajili.za Simba zimeisha.
Simba itakuwa timu Bora mbele, Nina uhakika Joshua Mutale atakuwa Bora msimu huu na Mukwala, Sowah na Ateba watafunga sanaBado kusajili waganga na marefa...saiv na arajiga here we go.
Lakini huyu kagoma ni mtu nmejua kwann hersi aliumia kumkosa.
Simba Kwa kuongezea wachezaji tayari labda kidogo msajili beki na mbili Kwa kapombe...na LB Kwa shabalala...lkn Kwa kapombe ukifanya rejea pamesababisha goal nyingi upande ule hasa tukicheza na yanga...rejea mechi ya mwisho na yanga goal zote zlitokea kapombe side.
Timu sasa ipo lkn hizo nafasi za RB na LB wazingatie...msimu huu hatutaki excuses
Kama unaijua hilo unamdihaki vipi Bajaber kuwa hajui!?? Kuwa mmepigwa!??Ingekuwa mnaangalia hvyo basi wachezaji wazuri wasingekuwa wanasajiliwa kutoka ligi za matopeni ..hata hao kina Ronaldo , Messi , wametokea ligi za chini from zero to hero