Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Hahahaaaa Hapo Kigogo atapigwa Spana Sana.
Kwa hili 2025 uchaguzi utakuwa wa kijinga sana vilaza wengi watachukua form kugombea
Shilole
Uwoya
Wema n.k
Hao wote lazima wagombee uchaguzi ujao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa Hapo Kigogo atapigwa Spana Sana.
kisalawe simanzi tele.utalii ulianza kuinuka akiamunguJoketi kapelekwa Temeke, mliokua mnamsagia kunguni na yule chizi mwenzenu twitter aibu kwenu
Amepewa?Aisee! Machozi ya Peter Lijualikali aliyotoa bungeni yamemgusa Mama.
Najiuliza wale waliogoma kuunga mkono Juhudi wanajisikiaje?
Wapo kapangwaAisee! Machozi ya Peter Lijualikali aliyotoa bungeni yamemgusa Mama.
Najiuliza wale waliogoma kuunga mkono Juhudi wanajisikiaje?
Ndiyo! Wilaya ya NkasiAmepewa?
60 ipi mkuu unachanganya watu.hiyo namba 60 hapo ni yule ninaemjua mimi au mwingine?
Cha muhimu ni kuwa ana afya njema, hayo mengine ni ya ziadaLoooh! Ndugu yetu Paschal Mayala ana mkosi gani jamani?
Waandishi kibao wamesombwa fuso inajaa lakini yeye hakuonekana
Aisee mpaka kujipendekeza awamu zote humu JF hawamwoni,hizi week alikuwa anamsifia mama,Sasa hivi utaona atakavyoanza kumkosoa@Pascal Mayalla usife moyo neema yako inakuja
Kama nani kati ya hao wateule?Kuna form four failures wenye Diploma za Utangazaji humo,
Wa kwangu umetiki,tano S mwera mkuu wangu wa wilaya ya busega kaondoshwa,Asante mama samiaUmetick au umechanika.
Abdalla mwaipaya huyu yuls mtangazaji ITV au ?Fatma Nyangasa- Kigamboni,Abdalla Mwaipaya-Mwanga,Albert Msando-Morogoro
Hivi mama anafeli wapi wadau ?yaani ndani ya ccm hakuna vijana wa kupewa uteuzi hadi anawapa ulaji hao wahamiaji wenye tamaa ya madaraka toka chadema, kuna vijana wengi ccm wamekipigania chama toka zamani lakini hawajapata uteuzi,daah yaani anarudia yale yale kama ya hayati magufuli
Sawa naandaa mkaa wa mpingo hapa nikupe kama zawadi,gunia moja unapikia mwaka mzima....Huu hauishi haraka!!