TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Hivi hawa kenge wote waliochaguliwa na watakaochaguliwa, wana umuhimu gani kwangu mimi kapuku?
Nina hangaika kutafuta kazi, hela ya kula, hela ya matibabu, hela ya ada,...
Hawa makende watanisaidia vipi mpaka nitake kujua nani kateuliwa na nani hakuteuliwa

Nchi zinazojielewa hakuna vikazi vya kipuuzi vya kupeana, sijui kuteuliwa
Nchi Nyambaaafu......
 
namkumbuka polepole alipokua DC ubungo chini ya makonda hakua na raha,alijiona kama yupo chini ya mtu asiestaili kua chini yake.
sasa mashinji yeye naona kama anazidi kutelemka.

HATA KUSUSA ANASHINDWA...!

haiwezekani Dr. mzima ujumlishwe na kayumba muapishwe pamoja, hii ni dhalau kabisa.
Kwani mtu akiwa DAKTARI ndiyo anastahili kupata cheo kikubwa zaidi ya UDC?!!!

UTEUZI WA MTUMISHI WA UMMA katika nafasi za juu ni popote tu.....

Haiwezekani teuzi zijaze madaktari na MAPROFESA peke Yao.....
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James, mtangazaji Hassan Ngoma kutaja kwa uchache.
Amekosea sana kumrudisha Dar Joket, kwani sisi wa Nkasi, Mlele, au Kakonko hatuna haki ya kuongozwa na mchapakazi Joket??????!!!!!??????????!??!?!!??????😡! Mama Samia naomba ujitathmini😜! Umeniuzi mno...yaani😠!
 
Nashtuka kutoka kupumzika naona simu yangu sms kibao kila mahali hadi nikashtuka kuna nini?
Kumbe kuna kacheo uchwara nimeshatupiwa humu. Mama mimi na udisii wapi na wapi? Hiyo nafasi yangu mpe mtu mwingine maana wala hata sitajisumbua kwenda huko. Yani wala hata siwazi achilia mbali kupeleka kwato zangu huko.
 
Back
Top Bottom