TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Nilikuwa tu kuwa Pascal hatoteuliwa kuwa DC! Nasubiri kuona akikosa udas nifanye hitimisho!
Sijawaona kina Johnthebaptist, jingalao, biayetu, kawealumin, USSR, et Al ambao wameipigania ccm na viongozi wake hapa jf. Au nao ni std viif? Nitawacheck kule kwa mad ili nihitimishe kwa namna ya pekee! Poleni mliokosa!
Labda kwenye Mkeka wa Ma RC huenda wakawemo! Uwe na subira.
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James, mtangazaji Hassan Ngoma kutaja kwa uchache.

Wapi Mshana na Pascal mayalla?
 
ivi mama anafeli wapi wadau ?yaani ndani ya ccm hakuna vijana wa kupewa uteuzi hadi anawapa ulaji hao wahamiaji wenye tamaa ya madaraka toka chadema, kuna vijana wengi ccm wamekipigania chama toka zamani lakini hawajapata uteuzi,daah yaani anarudia yale yale kama ya hayati magufuli

Mkuu tuko wengi Sana tunakipigania Chama....

Hatuwezi tukateuliwa wote....

Na kumbuka kila mtu na riziki yake...wengine siku NYINGINE in shaa Allah!

#KaziInaendelea
 
Maingizo mapya ya Samia nimeyaelewa, tasnia ya habari inaonekana ina kismati sana kwenye hizi nafasi. A. Mwaipaya, Fatma Nyangasa both from ITV/Radio One.

Huko Kigoma ngoma ni maafisa wa jeshi tu, ukiondoa Kigoma mjini kwingine kote ni maafisa jeshi.
Ameweka wanajeshi sehemu zenye changamoto za kiusalama. Safi sana!
 
Back
Top Bottom