TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Kama vile hizi teuzi zote na zilizo pita zina base dar au fani fulani hii tu ni kero kubwa sana kwangu
 
Utoke tu watu waangalie majina yao, nafasi mpya za ajira ambazo hazina application wala interview, sifa ya kupata ajira ni mapenzi ya mtawala kwa mteuliwa, unaweza pewa kwa sura/sauti nzuri uliyonayo, au ukose kwa sura/sauti mbaya uliyonayo.
Jokate , Basila Mwanakuzi(x- Miss Tanzania 1998), Bulembo. Uzuri na Urembo unachangia. Si Ajabu DAs tukamuona Mobeto, sepetu, na Iwoya.
 
Back
Top Bottom