TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Labda kwenye Mkeka wa Ma RC huenda wakawemo! Uwe na subira.
 

Wapi Mshana na Pascal mayalla?
 
ivi mama anafeli wapi wadau ?yaani ndani ya ccm hakuna vijana wa kupewa uteuzi hadi anawapa ulaji hao wahamiaji wenye tamaa ya madaraka toka chadema, kuna vijana wengi ccm wamekipigania chama toka zamani lakini hawajapata uteuzi,daah yaani anarudia yale yale kama ya hayati magufuli

Mkuu tuko wengi Sana tunakipigania Chama....

Hatuwezi tukateuliwa wote....

Na kumbuka kila mtu na riziki yake...wengine siku NYINGINE in shaa Allah!

#KaziInaendelea
 
Ameweka wanajeshi sehemu zenye changamoto za kiusalama. Safi sana!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…