TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Hivi hawa kenge wote waliochaguliwa na watakaochaguliwa, wana umuhimu gani kwangu mimi kapuku?
Nina hangaika kutafuta kazi, hela ya kula, hela ya matibabu, hela ya ada,...
Hawa makende watanisaidia vipi mpaka nitake kujua nani kateuliwa na nani hakuteuliwa

Nchi zinazojielewa hakuna vikazi vya kipuuzi vya kupeana, sijui kuteuliwa
Nchi Nyambaaafu......
 
Kwani mtu akiwa DAKTARI ndiyo anastahili kupata cheo kikubwa zaidi ya UDC?!!!

UTEUZI WA MTUMISHI WA UMMA katika nafasi za juu ni popote tu.....

Haiwezekani teuzi zijaze madaktari na MAPROFESA peke Yao.....
 
Amekosea sana kumrudisha Dar Joket, kwani sisi wa Nkasi, Mlele, au Kakonko hatuna haki ya kuongozwa na mchapakazi Joket??????!!!!!??????????!??!?!!??????😡! Mama Samia naomba ujitathmini😜! Umeniuzi mno...yaani😠!
 
Amekosea sana kumrudisha Dar Joket, kwani sisi wa Nkasi, Mlele, au Kakonko hatuna haki ya kuongozwa na mchapakazi Joket??????!!!!!??????????!??!?!!??????😡! Mama Samia naomba ujitathmini😜! Umeniuzi mno...yaani😠!
Mi mwenyewe nimetamani sana angekuja ilala.. au sijui nihamie Temeke 😁
 
Nashtuka kutoka kupumzika naona simu yangu sms kibao kila mahali hadi nikashtuka kuna nini?
Kumbe kuna kacheo uchwara nimeshatupiwa humu. Mama mimi na udisii wapi na wapi? Hiyo nafasi yangu mpe mtu mwingine maana wala hata sitajisumbua kwenda huko. Yani wala hata siwazi achilia mbali kupeleka kwato zangu huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…