Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mama kamstiri wifi yake,hakajaachiwa urithiNasubiria comments za wale waliokua wakisema Jokate kabwebwa na Shujaa JPM waje watuambie anavyobwebwa na Ironlady SSH
Wacha kazi iendelee
Asante MunguMwingine ambaye kibarua chake kimeota "nyasi" ni yule DC "mjivuni" wa Arusha, Bwana Kihongosi😀
Hajammalizia Pesa Mganga wa Kienyeji.Nasikitika sana
Sijamuona mwenzetu paskali[emoji3525]
umemsahau nicki wa pili kapewa kisaraweMwaipaya
Fatma Nyangasa
Nassari
Msando
Kalist lazaro waula
Tumshukuru mke wake aliyempa kura moja baada ya wajumbe kumfanyia kitu mbayaNasikitika sana
Sijamuona mwenzetu paskali[emoji3525]
Una wivuuuu khamama kamstiri wifi yake,hakajaachiwa urithi
Umepangiwa wilaya gani boss?Hongera sana Fatma Almas Nyangasa.
KABISA[emoji106]Inaitwa demotion
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siasa ndio ajira pekee zilizobakia .
Yaani serikali imeshindwa kutengeneza ajira imebakia kuteua watu nafasi za kisiasa.
Shame.
Ndiyo mwenyeweUyu herry james aliepangwa ubungo ndio Yule Yule wa UVCCM au Ni mwingine
Kibaha huyovipi yule DC wakigamboni na yy kanusurika ?
Yupo, Ila inawezekana kusoma hujuiKasesera kaliwa kichwa
Yule Mwehu wa Arusha Bongo Flavour nae kaliwa Kichwa