Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Nimeona pia majina ya watumishi wapya walioitwa tra, yani mkeka umechanikia macca au arabuni
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Ref.No.JA.9/259/01/A/234 27 Februari, 2023 TANGAZO LA KUITWA KAZINI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi kwa nafasi mbalimbali zilizotangazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika Usaili uliofanyika tarehe 03 – 08 Januari 2023, matokeo ya waombaji kazi waliofaulu Usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Waombaji waliofaulu Usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo Unguja – Zanzibar (Mazizini) katika Jengo la Sheria Ghorofa ya 3. Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu Usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa. NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa. NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI 1 KAMISHNA MKUU, MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA) TAX MANAGEMENT OFFICER II
1. MOH’D ALI MOH’D
2. AHMED SALEH ABUBAKAR
3. AMIN KHAMIS AHMADA
4. ABDULHAMID JUMA ABEID
5. AHMED RAMADHAN ALLY
6. TAUHIDA SHAABAN RAJAB
7. ISSA ABDALLA ALI
8. SAFIA ASAA RAJAB
9. MSELEM ALI OTHMAN
10.HAJRA KHAMIS SAID
11.OMAR MASOUD SHINDANO
12.WARDAT MOH’D HUSSEIN
13.RAJAB SALUM SAID
14.KHATIB KHAMIS ABDI
15.NAIMOUR JAFFAR SHEHE
16.IS-HAQ RAMADHAN KIPPAYA
17.MARYAM ALI HAJI
18.ARQAM SALUM MPWANI
19.ALI HASSAN HAMAD

TAX MANAGEMENT ASSISTANT II
1. KHEIR OMAR ALI
2. WAHIDA KHAMIS SULEIMAN
3. SEIF MOH’D ALI
4. SIHABA ALI KHAMIS
5. RUKAYYA BWANGA MFAMAU
6. SAFIA KHAMIS SULEIMAN CUSTOMS OFFICER II
1. SEIF ALI ABDALLA
2. AISHA JAMAL SAID
3. HUSSEIN BAKARI HAMADI
4. SABRA NASSOR ALI
5. ASHA MUHSIN HAMAD
6. MARIAM MUHAMMAD HASSAN
7. SULEIMAN JUMA HAJI
8. MAKAME USSI SHEHA
9. ABDULLA IBRAHIM ABDALLA NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI
10.FATMA MOHAMED ALLY
CUSTOMS ASSISTANT II
1. ABDULKARIM KHATIBU SANDUKU
2. NIHIFADH ABDULLA ALI
3. RUWAIDA ABDALLAH SALUM
ICT TECHNICIAN II
1. YUNUS SALIM ALI
2. BUSHIR MAKAME MGONGO
3. MOHAMED BAKAR RASHD

LIMETOLEWA NA; KATIBU, SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTU


HAYA HAYA HAYAAAAAAAAA.
ASIYE NA MWANA AELEKEE JIWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Utafanya nini na Dunia inaendeshwa na Wakristo na Wakristo wa USA na UK ndiyo walileta serikali ya Muungano!
Basi tumieni huo mfumo kirsito unao ongoza dunia kujiteuwa mbona mnabwabwaja kama mambwa?
 
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:

Mawaziri na Manaibu: 30.

Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.

Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.

Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.

Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.

Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.

Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.

Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.

Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.

Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.

Wakurugenzi mbalimbali: 249.

Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.

Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.

Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.

Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.

Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33

Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.

Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.

Jumla Kuu ya Uteuzi:

Waislamu asilimia 20%.

Wakristo asilimia 80%.

Uchaguzi 2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.
www.jamiiforums.com www.jamiiforums.com
 
Acha udini

Simbachawene, Ndumbaro, mwigulu, mabula Bashingwa na Nape hao unasemake??
 
Ungeweka hapa huo Mkeka wa Executives tuangalie dini zao.. Uzi utanoga zaidi
Akiweka ni tag.Huu ujinga wa kulalamika huku favours wamepata wao wanaolalamika miaka nenda rudi.Waislamu walipolalamika walikejeliwa waende shule.Sasa balance imeanza waliopendelewa wanalalama wanadai ni haki yao.Mfano hai waliomba kazi TRA Unguja ulitegemea wawe wa dini gani?Wakati ratio ya dini inajulikana?
 
Thibitisha haya madai.Watzn acheni ulofa jadilini mambo ya msingi
 
Haya sasa tuambie iwapo wangekuwa ni wa dini yako, ww na familia yako mngefaidika nn na kuajiliwa kwao?
 
Hajasema waislamu lakini, yeye amesema udini.. Umekimbilia kwenye point haraka sana
 
Hii kitu nimeikuta maeneo ya Msikiti mmoja maeneo ya Dampo,Mwanza inajadiliwa.Kumbe ata wavaa Kobazi wenzie hawakubaliani na Mama.
Toka lini hiyo ikawa kama ulivoandika!!?
Yaani muislam amchukie muislam kisa kawachagua waislam wenzie!!?
Acha kufanya watu watoto.
 
Nimeona pia majina ya watumishi wapya walioitwa tra, yani mkeka umechanikia macca au arabuni
Mkeka wa 2020 hadi 2021 chini ya JPM Haya mbona yapo muda mrefu ila wenyewe ndio mliyalea lea.
Hebu cheki mkeka ulivyoacha watu wa imani fulani na majeraha moyoni huku wa imani nyingine wakifurahia tuezi.

Toka jamaa alipoteuwa hadi siku yake ya mwisho hatukusikia malalamiko yoyote mitandaoni au kusoma comment yako ukilaumu teuzi hizo.
 

Attachments

  • Screenshot_20220717-210521.jpg
    74.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220717-210605.jpg
    73.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220717-210649.jpg
    65.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220717-210702.jpg
    65.2 KB · Views: 3
Kipindi cha magu mawaziri waislam walikua wawili tu na pm wa 3 lakini atukuona waislamu wakilalamika
 
Toka lini hiyo ikawa kama ulivoandika!!?
Yaani muislam amchukie muislam kisa kawachagua waislam wenzie!!?
Acha kufanya watu watoto.
Basi nimekosea ilikuwa kanisani Mkuu.Kwani unafikiri Waislamu wote hawajielewi?
 
Tuende na takwimu kwa kujiuliza maswali haya.

Ni awamu gani ya Rais ambae Baraza lake la mawaziri halikujaa mawaziri wa dini moja

Idadi sasa ikoje ukilinganisha na marais waliofanya uwino wa baraza la mawaziri.
 
Kama ni unguja hakuna la kustaajabu hapo. Nikajua watu wamepangiwa kuripoti kazini huku bara

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Utafanya nini na Dunia inaendeshwa na Wakristo na Wakristo wa USA na UK ndiyo walileta serikali ya Muungano!
Sasa kama cha kufanya hamna mnalalamika nini?
Mtoeni Rais muislam na mawaziri waislam ili mfumo kristo uendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…