shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Ref.No.JA.9/259/01/A/234 27 Februari, 2023 TANGAZO LA KUITWA KAZINI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi kwa nafasi mbalimbali zilizotangazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika Usaili uliofanyika tarehe 03 – 08 Januari 2023, matokeo ya waombaji kazi waliofaulu Usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Waombaji waliofaulu Usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo Unguja – Zanzibar (Mazizini) katika Jengo la Sheria Ghorofa ya 3. Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu Usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa. NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa. NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI 1 KAMISHNA MKUU, MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA) TAX MANAGEMENT OFFICER IINimeona pia majina ya watumishi wapya walioitwa tra, yani mkeka umechanikia macca au arabuni
1. MOH’D ALI MOH’D
2. AHMED SALEH ABUBAKAR
3. AMIN KHAMIS AHMADA
4. ABDULHAMID JUMA ABEID
5. AHMED RAMADHAN ALLY
6. TAUHIDA SHAABAN RAJAB
7. ISSA ABDALLA ALI
8. SAFIA ASAA RAJAB
9. MSELEM ALI OTHMAN
10.HAJRA KHAMIS SAID
11.OMAR MASOUD SHINDANO
12.WARDAT MOH’D HUSSEIN
13.RAJAB SALUM SAID
14.KHATIB KHAMIS ABDI
15.NAIMOUR JAFFAR SHEHE
16.IS-HAQ RAMADHAN KIPPAYA
17.MARYAM ALI HAJI
18.ARQAM SALUM MPWANI
19.ALI HASSAN HAMAD
TAX MANAGEMENT ASSISTANT II
1. KHEIR OMAR ALI
2. WAHIDA KHAMIS SULEIMAN
3. SEIF MOH’D ALI
4. SIHABA ALI KHAMIS
5. RUKAYYA BWANGA MFAMAU
6. SAFIA KHAMIS SULEIMAN CUSTOMS OFFICER II
1. SEIF ALI ABDALLA
2. AISHA JAMAL SAID
3. HUSSEIN BAKARI HAMADI
4. SABRA NASSOR ALI
5. ASHA MUHSIN HAMAD
6. MARIAM MUHAMMAD HASSAN
7. SULEIMAN JUMA HAJI
8. MAKAME USSI SHEHA
9. ABDULLA IBRAHIM ABDALLA NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI
10.FATMA MOHAMED ALLY
CUSTOMS ASSISTANT II
1. ABDULKARIM KHATIBU SANDUKU
2. NIHIFADH ABDULLA ALI
3. RUWAIDA ABDALLAH SALUM
ICT TECHNICIAN II
1. YUNUS SALIM ALI
2. BUSHIR MAKAME MGONGO
3. MOHAMED BAKAR RASHD
LIMETOLEWA NA; KATIBU, SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTU
HAYA HAYA HAYAAAAAAAAA.
ASIYE NA MWANA AELEKEE JIWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE