Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Acha sindano iwaingie. Kama kuwaambia ukweli ndio ujinga acha niwe mjinga. Rais haangalii dini kwenye teuzi bali anaangalia utendaji.
Yupi mtendaji pale kwenye baraza....riziwani ni fadhila na Makamba jr....ni fadhira za wazazi humo
 
Sina kumbukumbu na hili.

Unajua wakristo ndio wengi na huku bara ni nchi yetu sote. Zanzibar dini moja sawa tu.
 
Usimuwekee maneno mdomoni Mheshiniwa Rais,

Ameteua viongozi wa kumsaidia KAZI Kwa kufuata vigezo na uwezo.

Hakuangalia dini zao, maana Yeye Si Shehe Wala Askofu.
 
Tulia kwanza ndio uchangie huu uzi. Unakamhemko ndani yake.
Wewe ndo utulie, jifunze kujenga HOJA,

Wapi Katiba imeelekeza Rais ateue mawaziri Kwa kuangalia DINI zao?

Mtu anapoandika CV ya kuomba KAZI, haweki dini yake au dhehebu analosali.

Anaweza kuitwa John na akawa muislam, sisi haituhusu.
 
So ni kawaida,
Halafu sidhani kama Ajira tuna haja ya kuangalia %ge ya waislamu na wakristo. Serikali haiko hivyo bali sisi na akili zetu tunaona hivyo.
Serikali haifuatilii udini, MOSTLY INAFUATA SANA UKADA
Serikali ni sisi.
 
Wanaolalamika kuwa Rais Samia ni mdini ni wapumbavu, haters na wakurukupaji. Baraza la Mawaziri la sasa lina Mawaziri 25. Kati yao 15 ni wakristo (Mkuchika, Mhagama, Bashungwa, Kairuki, Ndalichako, Simbachawene, Mwigulu, Tax, Biteko, Mkenda, Nape, Mabula, Ndumbaro, Gwajima na Pindi Chana). Hiyo ni asilimia 60 ya Baraza lote la Mawaziri.

Mawaziri waislamu ni 10; (Jafo, Ulega, Mbarawa, Ummy, Masauni, Bashe, Makamba, Kijaji, Aweso na Mchengerwa). Sawa na asilimia 40.

Sasa hapo ni mdini Kwa sababu Wakristo ni wengi au namna gani?

Tuacheni hoja za kipumbavu tumuache mama afanye kazi yake.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo wameshateuliwa kama vipi chukua kamba ukajinyonge au hama nchi.
Tatizo mnaishi kwa hao wanaoteuliwa na hamjui madhara ya uteuzi tunaoupigia kelele....Kila kitu unaletewa tu nyumbani kama umeolewa vile hujui mtaani kugumu kiaje.
 
Kwahiyo mkuu wataka kusema yanayoendelea saivi waona ni sawa?
 
Usimuwekee maneno mdomoni Mheshiniwa Rais,

Ameteua viongozi wa kumsaidia KAZI Kwa kufuata vigezo na uwezo.

Hakuangalia dini zao, maana Yeye Si Shehe Wala Askofu.
Ok nimekuelewa mkuu. Huu ni mtizamo wangu tu kutokana na watu wa imani fulan kulalamika kwamba wanatengwa, kama vile alivyolalamikiwa mtangulizi wake.

Ila kumbuka sikusema kwamba haya ni maneno yake wala nukuu yake.
 
Wanayo bana na mbona wana ilmu nzuri tu na uzoefu wa kutosha[emoji28]mfano riziwani ni bonge la msomi na kiongozi Bora of all time, kudos kwake na wote waloteuliwa.
Dah,JF raha sana![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Islam Dini
Dini Ya Haki, Ya Mmnyazi Mungu
Wagalatia Hoi Sana Tupo Mbali
 
Kwahiyo mkuu wataka kusema yanayoendelea saivi waona ni sawa?
Mkuu mbona sikuwahi kuona ukihoji kwa yaliokuwa yanaendelea 2016 hadi 2021? Au yale hayakukuhusu wewe kuhoji? Na kama ulihoji niambie ni wapi nikapaone.
 
Ukweli ni kwamba Baraza la Mawaziri limejaa Wakristu.

Tunataka 50/50 ifikapo 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…