Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Sukuma Gang tumefanyaje tena!!?

Muacheni mama afanye kazi. Kila mtu ana dini na jinsia, muhimu wateuliwa wana vigezo na uwezo.

Acheni kuona dini na jinsia kwenye kila kitu!
 
Pole sana ndugu au ndo wewe tumepishana pale heart research department pale? Ndio maisha ndugu ukitaka mtu au watu wafanye the way una think utazidi kujiumiza moyo wako! NB; Teuzi ziendane na sifa na uwezo wa mtu kulingana na nafasi husika!! Hii biashara ya usawa wa kidini wakati dini zenyew tumezikuta tu.
 
Kwanini kila jambo lake mnalaumu washauri wake?!!!
Sasa tumlaumu nani na wao ndio wanamletea majina mezani? Wewe unadhani Rais anafanya kazi peke yake? Ni jeshi la mtu mmoja?
 

Unawasilisha Ni mkuu: kwamba Rais anashauriwa na sukuma gang kuwatoa sukuma Gang au? Kwanini unaondoa uwajibikaji wake? Acha kutetea watu kwa kuwa Tu hutaki kuonekana unapinga.
 
Unawasilisha Ni mkuu : kwamba Rais anashauriwa na sukuma gang kuwatoa sukuma Gang au ? Kwanini unaondoa uwajibikaji wake? Acha kutetea watu kwa kuwa Tu hutaki kuonekana unapinga.
Hana msimamo😂😂😂😂
 
Nakumbuka sheikh wa Dar alikuwa kimyaaaaa
 
Bado tunasubiri utoe idadi kulitia andiko lako umuhimu wa kujadiliwa
 
Ukiona mtu anaweza kusimama akazungumza jambo ambalo hata yeye mwenyewe hawezi kulizungumza hadharani na kwa mifano halisi, basi mpuuze au yeye ndio mwenye hizo sifa kwa upande anaojifanya anautetea.
Hujazungumza udini wa Rais ila unazunguka tu, tuambie nani kapendelewa na yupi kaonewa kwenye hizo dini.
 
Mtoa post unadhani Rais Samia anapendelea dini gani na kwa ushahidi upi. Tuletee hapa hizo teusi tuzione ufafanue hoja zako kwa ushahidi.
Hakuna haja ya kulumbana, mara nyingi familia yenye njaa ndio kuna lawama kama hizi. Mama akifanikiwa kuleta maendeleo na chakula kikapatikana malalamiko yote haya kwisha. Mumuombee yasitokee majanga kama ukame, watu watapiga kelele kama hiz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…