Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Wewe ndo mjinga umeshindwa kujua rais yupo hapo kikatiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo mjinga umeshindwa kujua rais yupo hapo kikatiba.
Ficha ujinga wako.Topic yote kuhusu udini inajulikana anamaanisha nini.Au upo so naive hujui anachomaanisha mleta mada?.Kuna ubudha au uhindu kwenye siasa za Nchi hii kwa walio na tabia za kulalama?Hajasema waislamu lakini, yeye amesema udini.. Umekimbilia kwenye point haraka sana
Listi imejaa waislamu, lakini je uombaji wa hizo kazi wewe hudhani kuwa Upande wa Zanziba labda waombaji walikuwa ni wakazi wa huko pekee?.. Je population ya huko unadhani domition ya Muslims ni %ge ngapi. Waliozaliwa kusoma na kuishi huko je?.. Je kuna Christians na dini zingine waliomba na wana vigezo. Kama waliomba na wana vigezo hapo itakuwa ni shida kama lah, sishangai..Waombaji waliofaulu Usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo Unguja – Zanzibar (Mazizini) katika Jengo la Sheria Ghorofa ya 3
Bora mzee Mohamed umekuja na real data. Mim kila nikiona nyuz humu jamaa wanalia ilihal hizo data bado hujagusa kwa watumish tu kawaida.wanalijua hilo na hata Mh analijua hilo.pita ukute kwaya zinavoimba maofisin hata muda wa kazSerikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:
Mawaziri na Manaibu: 30.
Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.
Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.
Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.
Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.
Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.
Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.
Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.
Wakurugenzi mbalimbali: 249.
Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.
Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.
Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.
Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.
Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33
Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.
Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.
Jumla Kuu ya Uteuzi:
Waislamu asilimia 20%.
Wakristo asilimia 80%.
Uchaguzi 2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.
www.jamiiforums.com www.jamiiforums.com
Wakikujibu ni tag.Tuende na takwimu kwa kujiuliza maswali haya.
Ni awamu gani ya Rais ambae Baraza lake la mawaziri halikujaa mawaziri wa dini moja
Idadi sasa ikoje ukilinganisha na marais waliofanya uwino wa baraza la mawaziri.
Acha Udini wewe yani katika majina yote unachoona ni dini tu. Ukimaliza udini utakuja ukanda ukimaliza ukanda utakuja jinsia ukimaliza jinsia utakuja urefu na ufupi then mweupe na mweusi then kabila. Mtu mbaguzi hua hatakosa cha kukosoa. Baraza halina shida yoyote sana sana wananchi tunataka uwajibikaji.Raia tunahoji. Kwa nini Baraza la Sasa limejaa Dini Moja?
Rais haoni kama hii inaweza kuleta shida badae?
Kwa nini asilekebishe mapema tu kabla mambo hayajaenda vibaya hasa hii minong'ono inayoendelea?.
Upendeleo nao umekita mizizi, yaani, watu walewale wazazi wao watufikisha hapa ndio haohao wanaendelea kupewa madaraka.
Wewe ndo mdini namba moja, why uchambue viongozi Kwa dini zao?Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:
Mawaziri na Manaibu: 30.
Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.
Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.
Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.
Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.
Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.
Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.
Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.
Wakurugenzi mbalimbali: 249.
Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.
Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.
Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.
Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.
Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33
Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.
Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.
Jumla Kuu ya Uteuzi:
Waislamu asilimia 20%.
Wakristo asilimia 80%.
Uchaguzi 2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.
www.jamiiforums.com www.jamiiforums.com
HII NI KWA UPANDE WA ZANZIBAR , AM SURE .JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Ref.No.JA.9/259/01/A/234 27 Februari, 2023 TANGAZO LA KUITWA KAZINI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi kwa nafasi mbalimbali zilizotangazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika Usaili uliofanyika tarehe 03 – 08 Januari 2023, matokeo ya waombaji kazi waliofaulu Usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Waombaji waliofaulu Usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo Unguja – Zanzibar (Mazizini) katika Jengo la Sheria Ghorofa ya 3. Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu Usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa. NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa Barakoa. NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI 1 KAMISHNA MKUU, MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA) TAX MANAGEMENT OFFICER II
1. MOH’D ALI MOH’D
2. AHMED SALEH ABUBAKAR
3. AMIN KHAMIS AHMADA
4. ABDULHAMID JUMA ABEID
5. AHMED RAMADHAN ALLY
6. TAUHIDA SHAABAN RAJAB
7. ISSA ABDALLA ALI
8. SAFIA ASAA RAJAB
9. MSELEM ALI OTHMAN
10.HAJRA KHAMIS SAID
11.OMAR MASOUD SHINDANO
12.WARDAT MOH’D HUSSEIN
13.RAJAB SALUM SAID
14.KHATIB KHAMIS ABDI
15.NAIMOUR JAFFAR SHEHE
16.IS-HAQ RAMADHAN KIPPAYA
17.MARYAM ALI HAJI
18.ARQAM SALUM MPWANI
19.ALI HASSAN HAMAD
TAX MANAGEMENT ASSISTANT II
1. KHEIR OMAR ALI
2. WAHIDA KHAMIS SULEIMAN
3. SEIF MOH’D ALI
4. SIHABA ALI KHAMIS
5. RUKAYYA BWANGA MFAMAU
6. SAFIA KHAMIS SULEIMAN CUSTOMS OFFICER II
1. SEIF ALI ABDALLA
2. AISHA JAMAL SAID
3. HUSSEIN BAKARI HAMADI
4. SABRA NASSOR ALI
5. ASHA MUHSIN HAMAD
6. MARIAM MUHAMMAD HASSAN
7. SULEIMAN JUMA HAJI
8. MAKAME USSI SHEHA
9. ABDULLA IBRAHIM ABDALLA NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI
10.FATMA MOHAMED ALLY
CUSTOMS ASSISTANT II
1. ABDULKARIM KHATIBU SANDUKU
2. NIHIFADH ABDULLA ALI
3. RUWAIDA ABDALLAH SALUM
ICT TECHNICIAN II
1. YUNUS SALIM ALI
2. BUSHIR MAKAME MGONGO
3. MOHAMED BAKAR RASHD
LIMETOLEWA NA; KATIBU, SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTU
HAYA HAYA HAYAAAAAAAAA.
ASIYE NA MWANA AELEKEE JIWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
DuhNimeona pia majina ya watumishi wapya walioitwa tra, yani mkeka umechanikia macca au arabuni
Hata sasa hivi teuzi za Samia Wakristo ni wengi kuliko Waislamu, sema hawa watu hata takwimu hawaangalii na mijadala yao ni hasira kuliko factsSerikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:
Mawaziri na Manaibu: 30.
Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.
Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.
Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.
Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.
Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.
Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.
Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.
Wakurugenzi mbalimbali: 249.
Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.
Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.
Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.
Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.
Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33
Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.
Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.
Jumla Kuu ya Uteuzi:
Waislamu asilimia 20%.
Wakristo asilimia 80%.
Uchaguzi 2020 - Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.
www.jamiiforums.com www.jamiiforums.com
na sasa hivi makamu wa rais na katibu mkuu kiongozi ni wa kwetu. tatizo nini?Lakini viongozi wa kitaifa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu walikuwa Waislamu.
Hilo ndio nenoWeka majina hapa tuchambuee
HAYA FANYA HESABU UTUPE %GEAkiweka ni tag.Huu ujinga wa kulalamika huku favours wamepata wao wanaolalamika miaka nenda rudi.Waislamu walipolalamika walikejeliwa waende shule.Sasa balance imeanza waliopendelewa wanalalama wanadai ni haki yao.Mfano hai waliomba kazi TRA Unguja ulitegemea wawe wa dini gani?Wakati ratio ya dini inajulikana?
Bara 70% wakristo mkuuListi imejaa waislamu, lakini je uombaji wa hizo kazi wewe hudhani kuwa Upande wa Zanziba labda waombaji walikuwa ni wakazi wa huko pekee?.. Je population ya huko unadhani domition ya Muslims ni %ge ngapi. Waliozaliwa kusoma na kuishi huko je?.. Je kuna Christians na dini zingine waliomba na wana vigezo. Kama waliomba na wana vigezo hapo itakuwa ni shida kama lah, sishangai..
Tupe na mkeka wa huku Bara mkuu
Sasa mbona Baraza lina wakristo wengi kuliko waislamu.. Huoni wewe umekurupuka bila kujua alimaanisha dini gani.Ficha ujinga wako.Topic yote kuhusu udini inajulikana anamaanisha nini.Au upo so naive hujui anachomaanisha mleta mada?.Kuna ubudha au uhindu kwenye siasa za Nchi hii kwa walio na tabia za kulalama?
So ni kawaida,Bara 70% wakristo mkuu
Kaka hakuna mahali nimesema lazima baraza liwe la dini flani...ila tunachotaka kuwe na balance 50% kwa 50%Akina John wakijaa kwenye mkeka hakuna shida ila ikitokea kuna akina John 20 na akina Ali 10 tayari kuna udini. Mmezoea kuwa peke yenu akiteuliwa Muislam mmoja tu povu kama lote. Hii nchi si yenu peke yenu.
Umetoa wapi takwimu hizo?Bara 70% wakristo mkuu
Mama hakufuata upuuzi bali anajaribu kubalance. Haiwezekani nchi yenye baraza la mawaziri 30 uteuwe waislam wanne tu kana kwamba wao hawakusoma au nchi nzima wamekosekana waislam hata 10 wa sifa za kiuwaziri. Hii iliwaumiza wengi mno ila hawakuwa na la kufanya katika nchi yao kwa vile katiba inampa mteuwaji ridhaa ya kuchagua yoyote.Kwaiyo na yeye Mama ameamua kufuata upuuzi wa JPM!