The secretary nimewaleteeni beautiful ONYINYE(baby girl)

moyo ulivo mdogo una nafasi ya kumuweka mtu jamani? au hujasoma biology? unajua structure ya moyo kweli? mtu anaweza kukaa katika moyo wa mtu au unataka kuniua? ama wewe jini?
Mle ndani ya moyo kuna chumba ambacho mimi ninaweza kuenea. Niko tayari kugeuka kuwa mdogo kama sisimizi ilimradi nienee
 
Babu shoka moja mbuyu chini unaomba msada teena....? Haya badae ntakuja na mazaga zaga ya kabebii..........sawa ee!!
 
Mle ndani ya moyo kuna chumba ambacho mimi ninaweza kuenea. Niko tayari kugeuka kuwa mdogo kama sisimizi ilimradi nienee
ukiwa sisimizi utaniwasha washa pia utaleta bacteria mle
 

hongera kwa kunizalia muke yangu pole sana kwa maumivu mama mkwe..
 
Last edited by a moderator:
umekufa? so unapost toka ahera au?
Yaani we acha tu maana naona raia wanachangisha michango sijui ya kununua nini? Mapigo ya moyo yananidunda pu pu pu jamani mbona nataka kuzilai
 

Sijasema mtoto siyo wako............... ila usikubali kupima DNA. Lea mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…