Tiba ya mkojo (urine therapy) hii tiba inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi

Hakika.
 
Mimi nilikunywa mkojo nilipong'atwa na nyoka na ulinisaidia na kuweza kupona japo nilichanganya na dawa zingine za kienyeji
 
hii kitu ndo naiskia mara ya kwanza!! na bado sijaamini na swezi kuulizia mtu yyte ntachekwa buree!! mods huu ni upotoshaji naagiza Uzi ufutwe haraka sana!!
 
Inatumika kwa magonjwa yaliyoshindikana hospital, ni muhimu kupima mkojo na kupata matibabu
mkojo kiboko ni wa watu wazima, wa watoto si mzito
Wakubwa kama mlevi au mtu wa ngono zembe inakua changamoto
 
Sijakataa , umesoma nilichouliza lakini?
Wakati unasubiri akujibu, ngoja nichangie kidogo. Ukizingatia composition ya mkojo kwamba ni takamwili, Taka mwili ni pamoja na visivyotakiwa kuendelea kuwepo mwilini mwako (microbes, excess salts/minerals n.k) kwani kuendelea kuwepo mwilini kunasababisha madhara mwilini.
Kwa mantiki hiyo kutumia mkojo kama mojawapo ya tiba haikatazwi bali unatakiwa pia uwe na Tahadhari au uwe mwangalifu.
Usinywe mkojo tu eti kwa sababu walisema ni dawa na eti hata huko USA wanatumia. Kwa mfano uko kwenye dozi e.g. dawa za hospitali au Tiba asili sio vizuri ukatumia mkojo wako kwani utakuwa una recycle takamwili(Sumu) zitokanazo na dawa unazotumia. Halafu pia jiridhishe kwamba huna maambukizo mengine e.g UTI, STD, n.k.
Ni hayo tu.
 
Hii ni world wide therapy.
Huyo unayemjibu anashangaza sana. Badala ya kuutafuta ukweli anakimbilia eti kwa kuwa ndo mara ya kwanza kusikia yeye hajui jambo hilo anawaagiza Mods waufute tena haraka sana. Anadhani mods ni wahemukaji kama yeye.
 
Huyo unayemjibu anashangaza sana. Badala ya kuutafuta ukweli anakimbilia eti kwa kuwa ndo mara ya kwanza kusikia yeye hajui jambo hilo anawaagiza Mods waufute tena haraka sana. Anadhani mods ni wahemukaji kama yeye.
😁😁😁 hakika kutokuelewa mambo ni Mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…