Tiba ya mkojo (urine therapy) hii tiba inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi

Hii nzuri Sana .
 
wanasema hata tatizo kwikwi ,inaondoshwa na mkojo pia
 
Uongo mtupu!

Mleta mada unawauza watu kwa kunywa taka mwili.

Ungejua content za mkojo na taka ziambatanazo na mkojo unaokuwa na maambukizi usingepotosha watu hivi.
 
Uongo mtupu!

Mleta mada unawauza watu kwa kunywa taka mwili.

Ungejua content za mkojo na taka ziambatanazo na mkojo unaokuwa na maambukizi usingepotosha watu hivi.
Urine therapy is worldwide therapy
 
Shida yako akili umeielekeza kwenye dawa za hospital tu, mimi nimekunywa mkojo nilipoumwa na nyoka (

Shida yako akili umeielekeza kwenye dawa za hospital tu, mimi nimekunywa mkojo nilipoumwa na nyoka (kifutu) imenisaidia na mpaka sasa nipo hai
Hoja:- Mkojo upo ndani ya mwili sio!? kama ni dawa kwann mwili usitambue kiasi Cha mkojo utumike kama Kinga/ dawa!? pili...mwili unatafsiri mkojo as a waste product(taka mwili) that's why automatic zinatolewa nje!? iweje wewe urudishe taka taka ndani!? Em acheni uchawi bhaanaa!
 
Hata ukiwekewa sumu first aid nzuri ni kunywa mkojo wako, madhara ya sumu yanakata!
 
Mkojo ukiunywa unaenda kuwa processed kwenye mwili upya tofauti na ukiwa kwenye kibofu chako ukisubiri kutoka nje ya mwili inakuwa vigumu kurudi kwenye process ya mwili.
 
Shida yako akili umeielekeza kwenye dawa za hospital tu, mimi nimekunywa mkojo nilipoumwa na nyoka (kifutu) imenisaidia na mpaka sasa nipo hai
Moja ya tiba ambazo tuliambiwa tukiwa machungani mmoja wetu akiumwa na nyoka ni kumunywesha mkojo.

Kwa habari ya kifutu wanasema hana dawa ni mguu kuoza kwenda mbele
 
Mkuu huyo mpaka afundishwe na wazungu ndio atakubali. Waafrika tumeathirika na utumwa wa kiakili (Slavery Mentality). Ukimwambia ajifukize atakataa lakini mwambie kwa kiingereza atakubali. Shida sana!
Unaweza kunipa reference kuwa mkojo ni tiba?

Sayansi haina blah blah tu kupiga zumari leta hapa reference nione mechanism ya mkojo kutumika kama antidote.

Maana naona unazidi kupotosha tu.
 
Unaweza kunipa reference kuwa mkojo ni tiba?

Sayansi haina blah blah tu kupiga zumari leta hapa reference nione mechanism ya mkojo kutumika kama antidote.

Maana naona unazidi kupotosha tu.
Mleta mada ameshasema mkojo umemponya. Pia sisi kwenye familia yetu za kifugaji tumeshatumia sana tukiumwa na nyoka pamoja na mawe ya kutoa sumu ya nyoka, unajua jinsi yanavyotengenezwa?
 
Mleta mada ameshasema mkojo umemponya. Pia sisi kwenye familia yetu za kifugaji tumeshatumia sana tukiumwa na nyoka pamoja na mawe ya kutoa sumu ya nyoka, unajua jinsi yanavyotengenezwa?
Nyoka wa jamii ipi sumu yake inamalizwa kwa kunywa mkojo?
 
Moja ya tiba ambazo tuliambiwa tukiwa machungani mmoja wetu akiumwa na nyoka ni kumunywesha mkojo.

Kwa habari ya kifutu wanasema hana dawa ni mguu kuoza kwenda mbele
Mimi nilipona lakini walinichanganyia na dawa zingine za kienyeji. Kuna jamaa aliumwa na kifutu alipoenda hospital alikatwa mguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…