Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama TISS hawajitokezi kukanusha, ni wazi kwamba wao ndio wanahusika na utekaji, utesaji na uuaji.TISS si chombo cha Usalama wa viongozi tu bali chombo cha Usalama wa Taifa zima.
Lakini ni kawaida au mazoea kutokea huko nyuma wakuu wenye nyadhifa mbali mbali walio kuwa karibu na chombo hicho kukihujumu kwa maslahi yao binafsi na sio siri.
Lazima tuwe wazi kwamba TISS ni kama kampuni yenye mfumo au muundo wa kushughulikia au kutekeleza jambo au mambo kutokana na taratibu,au kanuni zake.
Kama kuna mapungufu yanaosumbua taasisi hiyo yasielekezwe gizani bali yalenge mtu au watu au kundi au nchi inayochafua hali ya hewa kwa makusudi au kwa uzembe au kwa kutojua au vyote.
Mbona povu? Ni lazima watekwe watanzania wote milion 50 ndipo uamini kwamba TISS wanateka watu? Hebu tuambie basi ni nani aliyewateka Dr Ulimboka, Absalom Kibanda, Roma na raia wengine wanaotekwa kila kukicha badala ya kutoa povu kavu pasipo maelezo mubashara. Pia usisahau kutuambia yule pimbi aliyemtolea Nape Bastola mchana kweupe ni nani na alitumwa na nani.Ni ujinga kuamini kuwa eti usalama wa Taifa unateka watu na unaua watu, mbona sisi hatujatekwa, watu wamejaa barabarani, wamejaa mashambani mbona hawajatekwa wala kuuwawa? Mbona hata wewe hujauwa wala kutekwa? Leo hii unaibuka na post ya kijinga jinga. Amajweli post za kunukuu ujinga uliotolewa na mjinga flani tena wa upinzani ambaye yeye ameajiriwa kupinga tu. Jitu lililokataliwa kutokana na ufisadi. Lowasa hatakuwa Rais hata mkilala mnaota.
You have suggested to reduce their number....would you help us to tell how many are they? So that we decide to reduce them or increase the number of maintain it?Mayalla,
You are avoiding details (seems like purposely) on how the organization became the fist of the ruling party (CCM), thus put
under direct party control. No other oversight existed over it. What existed at the centre "structurally" was the *political police*. Main Tasks included:
1. Suppression and oppression of all kinds of political opposition in the country. A young state had to focus on "Unity and order"...
2. Total control over the society.
No Parliament sitting adopted law/s to determine the activities of the security services, or at least the laws were vague. Basically, the activities of the organization were activities defined and guarded by Revolutionary Party (CCM).
I am in contrary to Zitto et al thinking on dissolving TISS. Dissolving the organization would be disastrous to the Nation because doing so would fulfil the objectives of organized criminals. Many of the would be former intelligence agents would be recruited by numerous mafia groups. They would extend an informal network, support each other, support their ex- bosses, and worse - if united they would be able to easily form even a private army. Let's not forget that we live in a society where informal institutions are stronger than formal ones. Its why we are categorised as a "problematic state", only one level up from being a "failed state". A problematic state is the one that lacks rule of law (instead under a big man rule), and dominated by informal institutions (absence of strong formal institutions).
What needs to be done instead?
-The parliament should adopt relevant laws to guide its activities.
-A parliamentary oversight should be established and it should involve experienced parliamentaries in security matters.
- TISS needs to be depolitized. There should be a ban on party associations for the staff; there should also be prohibition of any political related activity within the working
places of TISS).
- Centralized oversized security apparatus needs to be dismantled.
- There should be a reduction of the number of the staff down to the real needs of the national
security.
- TISS should be put under a more sophisticated controlling system i.e
Parliamentary, administrative and, judicial.
- There's a need of establishing"judicial control" over the use of secret means and methods which can penetrate or infringe the rights and privacy of the citizens.
- Goals and purposes of TISS need to be redirected and restructured
along new directions;
- Recruitment of new intelligence officers should only base onprofessional merits.
- There has to be transparency on its budget sources and also an independent control above them.
- TISS needs to join the intelligence-security community of the "democratic world".
- TISS needs to intensively participation in combating the global security challenges, especially international terrorism.
In the final analysis, CCM and the State should no longer be held in " synonymous ".
Hata mimi nimemsoma na nimejiuliza mambo mengi sana, tatizo ni Nape!!!, hao TISS wanaoelezwa kuwa wanatesa watu uko Clouds waliteswa? walipigwa? Pasco anayo ajenda, awe wazi katika ajenda yake.Kwa hiyo miaka yote tangu ianzishwe, ndio leo mnatuambia kazi yao ndio hiyo!? Mbona malalamiko juu yake ni siku hizi na sio tangu!?
Mitutusa ya Lumumba inapita tu kama vile haioni uzi huu.Ngoja akina Lizabon waje[emoji126][emoji126][emoji16]
Mkuu hapa tunaongelea utekaji, utesaji na mauaji....na hili sio moja ya majukumu ya TISS (usalama wa CCM). Umeelewa sasa?umeona eh........ kama kisheria (yao ya kazi) wanaruhusiwa hata kumbana mtu korodani kwa praizi.... ili mradi wapate wanachokitaka..............how comes tunawahukumu??
Nilielewa kilichokuwa kinaongelewa na ndio maana nikaomba kujuzwa majukumu yao ya kazi ni yepi. NimekwishaeleweshwaMkuu hapa tunaongelea utekaji, utesaji na mauaji....na hili sio moja ya majukumu ya TISS (usalama wa CCM). Umeelewa sasa?
Mkuu T Paul, TISS ni professionals, watu ambao ni ma professional hawafanyi kazi nusu nusu, they do a complete job, hivyo kwa Dr. Ulimboka hawakujaribu kumuua bila mafanikio bali lengo halikuwa kumuua bali kumpatia tuu ujumbe fulani ambao ulifika na kamwe hutakaa usikie mgomo mwingine wowote wa madaktari nchini na hutakaa msikie Ulimboka aliambiwa nini na watesi wake!.TISS hawawezi kukwepa lawama za utekaji na kazi hii waliianza tangu walipojaribu kumuua Dr Ulimboka bila mafanikio.
Ulizaliwa kwa njia ya kawaida kweli wewe au maza alikwenda chooni ndo ikawa hivyo? hukutakiwa kuishi karne hii kabisa!ungetuambia kwanza kama torture ni kinyume cha sharia ipi maana utesaji ni moja ya mbinu za kipelelezi
Mkuu hilo ni tutusa la Lumumba lililoamua kujitoa akili kwa makusudi.Ulizaliwa kwa njia ya kawaida kweli wewe au maza alikwenda chooni ndo ikawa hivyo? hukutakiwa kuishi karne hii kabisa!
Protocol haziruhusu,wanakufa na tai shingoni.Lakini wao kwa wao na taasisi nyingine zenye mawasiliano mmoja kwa mmoja wanazungumza kwa mipaka ya kazi zao,nafasi zao na majukumu yao.Ni nadra sana kwa taasisi hiyo kujilipua wazi wazi.Yupo mtu mmoja aliwahi kusema mkewe aliishi nae miaka zaidi ya 30 asijue kuwa ni afisa kachero gwiji hadi anastaafu,na alivyogunduliwa alikanusha na kumkana mtu mmoja aliemtambua kuwa ni mwenzao.Mkuu kama TISS hawajitokezi kukanusha, ni wazi kwamba wao ndio wanahusika na utekaji, utesaji na uuaji.
Huyu anaonekana kilaza wa mwisho kabisaHahahaa duh we kiboko. Ujuaji mwingiii huna unalojua....yani unaleta hapa zile story zako za vijiweni....
Yaliyotokea Clouds TV wote tumeyashuhudia kupitia CCTV, na yale makirikiri tumeyaona, na ya Nape Mnauye tumeyashuhudia live mubashara kwenye TV huku huyo mpuuzi akionekana wazi hadi sura watu wanamjua.