Kwa taarifa yako ghorofa tatu za juu yaani 15-18 zimechukuliwa na Tiss .....kuna kitu kinaendelea .......tu ute subra kuna jambo kubwa ndani yake ......kwanza kuijua jinsi Kiwanja kilivyodhulumiwa toka kwa yule Prof.wa Mwalimu utatumika sana .
Mkuu wewe uliyeusalama wa taifa tusaidie kutuelimisha acha kujifanya mkali mjinga nini tiss na majengo wapi na wapi make ile ni idara ya usalama wa taifa sasa mambo ya ujenzi yanaingiaje.Kwa hiyo kwa akili yako TISS haiwezi kuingilia kati na kushauri usimamishaji wa jengo lolote linalotishia usalama kama lile la Magogoni?No wonder badala ya kufundisha mmekua wapiga debe wa Gaidi,kama hujui majukumu ya Usalama wa Taifa hata huo u DC unaotafuta kwa hamu haukufahi
Unauhakika ni sehemu ya kazi yao?Chaburuma,
Kwa nini TISS hawakusimamisha ujenzi?
Mkuu, kama umeelewa vizuri, hapo kulikuwa na udanganyifu fulani. inawezekana pia kibali halali kilichopelekwa Ikulu ni kile cha ghorofa 15, ila TBA walitoa kibali cha ghorofa 18. kuhusu TISS kusimamisha ujenzi wa jengo hilo, daah hapo napata shida kukujibu. Sheria ya TISS inahusu kuzuia. likiharibika nadhani ni jukumu ya vyombo vingine kuchukua hatua. TISS wangepewa meno ya kuchukua hatua, ni wazi kuwa nchi hii ingenyooka sanaChaburuma,
Kwa nini TISS hawakusimamisha ujenzi?
mkuu kwani wewe kama bavicha ukiipinga ccm kunajambo la ajabu sana?
Mkuu, kama umeelewa vizuri, hapo kulikuwa na udanganyifu fulani. inawezekana pia kibali halali kilichopelekwa Ikulu ni kile cha ghorofa 15, ila TBA walitoa kibali cha ghorofa 18. kuhusu TISS kusimamisha ujenzi wa jengo hilo, daah hapo napata shida kukujibu. Sheria ya TISS inahusu kuzuia. likiharibika nadhani ni jukumu ya vyombo vingine kuchukua hatua. TISS wangepewa meno ya kuchukua hatua, ni wazi kuwa nchi hii ingenyooka sana
Mkuu wewe uliyeusalama wa taifa tusaidie kutuelimisha acha kujifanya mkali mjinga nini tiss na majengo wapi na wapi make ile ni idara ya usalama wa taifa sasa mambo ya ujenzi yanaingiaje.
kwani kuna majengo mangapi marefu yamejengwa na hayana vibali vya TISS? kwani sheria inasemaje kuhusu ujenzi karibu na ikulu?
ni umburura wa hali ya juu kuuliza swali la kijinga kama hili, kuna tatizo TISS wakiwa na hiyo idara? TISS ni taasisi ya usalama, hivyo wanaweza wakawa na idara zote unazozijua wewe,kwani tiss ni idara ya majengo na ujenzi? bado hamjanipa jibu.
Kwani TISS ndo wanatoa vibali vya ujenzi? acheni jamani kuleta propaganda kwenye mambo ya msingi.
Mkuu wewe uliyeusalama wa taifa tusaidie kutuelimisha acha kujifanya mkali mjinga nini tiss na majengo wapi na wapi make ile ni idara ya usalama wa taifa sasa mambo ya ujenzi yanaingiaje.
Unauhakika ni sehemu ya kazi yao?
hawa ndio waandishi makanjanja wanaotakiwa kutungiwa sheria zenye adhabu kali kabisa, kazi kuandika uongo na uzushi
unamlaumu mwandishi kwa kuandka alchosema mtu wa tba ili iweje? Kuwa ccm kazi kwelikweli!