Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Nenda Iran kawasaidie magaidi ya kiislam yanapelekewa moto na Trump.

Aende aone...kilichomkuta israel na airdome yake anakijua...unadhani irani ni venezuela.?teh teh

Na wewe kwanini usiende vatican kuwaomba waje kukusaidia kupindua nchi??
 

HIZO NI NDOTO ZA ALINACHA MNAZOPEANA HUKO MADHAHABAHUNI MAKAFIRI

TEH TEH TEH
 
Hii ni initial stage. Anatakiwa kujitetea kabla ya ICC kuingilia kati.
Anaweza kusema Kaunda tume ya ndani na ni huru hivyo hamna haja ya ICC. Wakiamini atakachosema wanaweza wasianze uchunguzi.

Initial stage gani??
Teh teh teh

Nyinyi si wajanja??ingieni barabaran muandamane kwani kupindua nchi ni lazima mtegemee ICC??

Si mnasema jeshi liko nyuma yenu kenge nyinyi
 
Kwani nani kasema ICC wametangaza hayo?
Advocate Magoti kama mmoja wa wahusika kufungua hii kesi katuambia. Ana taarifa zaidi ya Sisi wengine.

Shida yenu mnapenda sana kuongopewa

Ni hao hao mafala waliwaambia kuwa jeshi lipo nyuma yenu muingie road na je kiliwakuta kitu gani??
 
Unamlinganisha Putin na Samia.
 
Wewe mmatumbi unajifanya kuijua dini wakati wenye dini ilikotoka Saudi Arabia, Oman, Iraq, wanamsaidia Trump kumpiga mwislam mwenzao.

Kwahiyo??

Wewe mbona huendi vatican kuomba msaada unakimbilia ICC??

Vatican hawajui kuwa mmekula shaba za kutosha...why wapo kimya??

Si wanajua nyinyi ni wahuni kama.wahuni wengine.
 
Azunguke mikoani wakati wapo Mawaziri na wakuu wa mikoa? Wengi wetu hatujui ukubwa wa cheo cha Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…