To be honest, pesa zinawapa kiburi sana wanawake

........ Dah anyway haya mambo ya kuoa wanawake wenye pesa haya magumu sana.
heee[emoji53], so ni vibaya mwanamke kua na pesa? hivi nyie wanaume mna nini in your mindsets?[emoji34] cas hampendi kuambiwa ukweli na kurekebishwa thats why mnapenda mwanamke wa kumuendesha unavotaka, mtukome[emoji34]
 
Hapana,ni maoni yake tu na ndiyo maana nimemkumbusha kuwa na wanaume vivyohivyo
unajua kwenye haya maisha unapaswa utizame wewe una malengo gani na usipagawe na mitikasi ya mwengine mke akiwa na pesa wewe kuza za kwako shida iko wapi amini nakwambia wala hutoona hiyo dosari ya dharau ndani yake
 
Ogopa hao viumbe mpaka vitabu vya dini vinatambua urafiki wao na shetani, kwa hio sishangai nikiambiwa wakiwa na pesa wanageuka kua asili yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…