Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

Adam asingemuacha, angekua nao wote tu.....ili dunia ichangamke zaidi ya hapa 😹, huku Lilith anamnyoosha Adam huku Eva anamtii huku mawifi na wakwe wanapelekeshwa na Lilith.
Jamani nimetamani turudi tu Eden kwakweli tukachangamshwe.
ina maana Adamu hakua akijua kusex propa? hakua akijua kitu? unaachaje mwanamke kisa anataka woman on top jamani na inavyonogagaπŸ˜†βœ‹
 
Nikifa MkeWangu Asiolewe πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Id Ya kiwehu hii ..poyee..
Ujue kuna watu wengine wana amini kile anachokiamini yeye ndo sahihi kuliko nachoamini mimi. mfano ni kwenye hizi dini wapo waanaamini kuwa yesu ni mungu wengine hawaamini hivo. tukija kwenye mada kama wayahudi wanaamini kuwa lilith alikuwa first wife wa adamu na wana fundishana huko kwao na kuamini hivo kwaninin wewe upinge uite ni hadithi vipi kisa yona sio hadthi ile wakuu? kwa akiri ya kawaida bila kuwa na iamni za kidini unaweza amini hichi kitu kwetu?
 
Uongo. .

Biblia inasema katika mwanzo mbili mnayosema ni uumbaji wa pili hapakuwa na mtu wa kuilima ardhi,

Adam alikuwa wapi?
mwanzo 1:26-27. imebeba muktadha wote wa uumbaji sehemu ya kwanza.
mwanzo 2;18 uumbaji no2 hii iko wazi . kinachokusumbua wewe ni kukaririshwa tangu ukiwa mdogo hadi wa leo.

Binafsi huwa nikisoma mwanzo2:18... nagundua kuna maboresho mungu aliyafanya tena
 
Biblia kitabi kigumu sana ukikisoma kama historia

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…