Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??

Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??

Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16

Sijui wewe,,.....
Acheni uasherati vijana...Mtu miaka 22 umeishaanza kuteswa na huko chini na mambo ya mahusiano, mpaka utoboe 40 wewe itakuwaje?Acheni kujichosha na uigizaji, muda utafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…