Tofauti kati ya Waarabu, Warusi, Wamarekani na wazungu kuhusu utu wa mtu

Tofauti kati ya Waarabu, Warusi, Wamarekani na wazungu kuhusu utu wa mtu

Na Waafrika je? Au wewe ni Mzungu? Waafrika huwa ni wa ajabu sana utakuta wanaponda wengine kwa kuwalinganisha na wengine lkn wao hawajiweki kwenye huo ulinganisho, mtu ambaye unatoka Bara lililo nyuma katika kila kitu na kila kipimo cha kimaendeleo na na Civilization kitumiwacho Dunia hii bado unadiriki kuhukumu wengine?

Hebu jiangalie tena kwenye kioo labda utajikumbika, …
 
Wakati mwingine kuhamasishwa katika harakati za kisiasa ni suala la kuwa na suala lililowekwa kwa njia ambayo ni ya kulazimisha na yenye hisia za kweli. Na malalamiko yanayowasilishwa yanagusa watu wengi na malalamiko yenye mshiko(compelling)

Uasi wa Kiraia au Civil disobedience ni Maandamano?

Mikutano ya hadhara, ni maandamano?

Kwanini iwe Civil DisObidience kwa wanaodai haki zao kutoka kwa Wazungu ? Kwanini iwe ni Rallies or marches kwa Wazungu.

Kwani Wazungu, watu wa ulaya(lol) warusi waarabu na hata waafrika wana hisia tofauti likija suala la kuonyesha wanachotendewa sio haki? Kwani wote hao sio Binadamu?

Kama wanachodai kuwa kwingine hakuna ubinadamu katika utumiaji wa Sheria huwa wanazungumzia ubinadamu gani ulio tofauti na wao....whomever, you choose
 
Hakuna sehemu yenye historia ya mauaji na unyama wa kutisha kama bara la ulaya. Hata karne moja haijapita Ulaya ilikuwa na watu aina ya Adolf Hitler, Benito Mussolini, Fransisco Franco, Joseph Stalin, Josip Broz Tito, Slobodan Milošević na Nicolae Ceaușescu. Kiufupi ufashisti na udikteta ulianza ulaya kabla ya asia, afrika na america kusini.
 
Vipi hapo wanapo sifiwa kuupiga mwingi ni wanainchi wanaowajibika kwa serikali au Ni serikali inayo wajibika kwa wanainchi?

BTW, Ufaransa watu wanaandama kutokana na hali ngumu ya maisha, wakimtaka Macron ajiuzulu, na zaidi watu wametiwa nguvuni. Vipi huko Ni serikali inawajibika kwa wanainchi au ni vice versa?
Mpaka sasa kuna wangapi wameuawa!!
 
Hakuna sehemu yenye historia ya mauaji na unyama wa kutisha kama bara la ulaya. Hata karne moja haijapita Ulaya ilikuwa na watu aina ya Adolf Hitler, Benito Mussolini, Fransisco Franco, Joseph Stalin, Josip Broz Tito, Slobodan Milošević na Nicolae Ceaușescu. Kiufupi ufashisti na udikteta ulianza ulaya kabla ya asia, afrika na america kusini.
Unazungumzia vita??
 
Hiyoo arab spring si ndiyo inasemwa kuwa Marekani kawachochea waarabu dhidi ya serikali zao kwa maslahi ya Marekani?? Leo Marekani wanashambuliwa Syria kwa kuwa wao ndiyo walengwa na adui namba moja wa Waarabu kwa kuwa wanaonekana wapo Syria kwa maslahi ya Israel...
Tatizo unajumuisha ndio Maana nikakuuliza kitu specific,

Mimi nimetaja specific nchi Libya na Syria kulikua na mkono wa west, Egpty walitumia Arab spring na kuweka Raisi wao na west na Vibaraka wao wakampindua na kujisahaulisha demokrasia wanayoitetea kila siku.

Nchi za Ghuba Saudi Arabia, Oman, UAE, Bahrain etc kote kulikua na Maandamano ya Amani yalianza kwa Amani yakaisha kwa Amani casualties zilikuwa ndogo sana mfano kwa Oman maandamano miezi 3 inakadiriwa vifo 6 mpaka 10 na majeruhi 20.

Hivyo unavyojumuisha nchi zote as if kila nchi ya kiarabu ilikuwa kama Syria na Libya ni ukosefu wa Exposure.

Pia Serikali ya wananchi ni Ile inayourudisha keki ya Taifa kwa wananchi, huko Ulaya Nchi matajiri raia wanaandamana Njaa, keki ya Taifa watu wachache wanaimiliki.
 
Hakuna sehemu yenye historia ya mauaji na unyama wa kutisha kama bara la ulaya. Hata karne moja haijapita Ulaya ilikuwa na watu aina ya Adolf Hitler, Benito Mussolini, Fransisco Franco, Joseph Stalin, Josip Broz Tito, Slobodan Milošević na Nicolae Ceaușescu. Kiufupi ufashisti na udikteta ulianza ulaya kabla ya asia, afrika na america kusini.
Ni kweli kabisa. Na hivi karibuni Raisi mstaafu wa Ufaransa Sarkozy ameafiki hayo. Afrika au Amerika kusini hakukuwa na Udikteta. Udikteta uko ulaya na proxy wao. Halafu wao ndio wanasema sie ndio tuna Uchawi kuwazidi.

Mzungu ana andamana
Mtu mweusi au mwingine mwenye rangi tofauti, yee huwa anafanya uasi, huwa anavunja sheria. Ila mzungu yeye huwa anadai haki yake ambayo anadai ndio amezaliwa nayo. "White Privilege'
 
Unazungumzia vita??
Nazungumzia mifumo ya utawala iliyokuwepo ulaya ndani ya karne mbili zilizopita, ambayo kimsingi ilisababisha mauaji na maumivu makubwa kwa mamilioni ya watu. Ubeberu, ufashisti, ukomunisti na mifumo mingine ya kimabavu ilizaliwa barani ulaya kwanza na kuigwa asia, amerika kusini na afrika. Huo utu unaouzungumza wewe ni upi ?
 
Nazungumzia mifumo ya utawala iliyokuwepo ulaya ndani ya karne mbili zilizopita. Ubeberu, Ufashisti, Ukomunisti na mifumo mingine ya kimabavu ilizaliwa barani ulaya kwanza na kuigwa asia, amerika kusini na afrika. Huo utu unaouzungumza wewe ni upi ?
Na hivyo ulivyotaja ndo chanzo cha wao kuendelea na kuamua kutafuta makoloni kupitia imperialism

Ulaya hawako kwenye comfort zone ndo siri ya maendeleo yao
"in europe even today struggle is real in daily life"
 
Wewe unamahaba tu na lengo lako ni kuongelea Putin na Urusi, hao waarabu umewaweka hapo kama spacegoat..:

Unaongelea wazungu gani hao wenye utu, hawahawa wioua maelfu ya babu zako, wakawabaka, wakawafanya watumwa, wakuwapeleka kwenye anamal zoos ulaya kwa ajili ya maonesho...??
Hawahawa walipora mali ulimwenguni kote na kuzipeleka Ulaya wale wao na watoto wao?

Hawahawa waliowaua more than 6 million jews, tena kwa kuwachoma moto live bila chenga??

Hawahawa waliowahi kutumia nyuklia dhidi ya wanadamu wenzao: Japan (1945)??

Sasa hivi wanawafanyia unafiki tu unakenua meno na kuwaona wa maana??

Mzee wewe ni miongoni mwa waafrika wajinga.na walikuwepo kama wewe miaka yote....
 
Marekani na Ulaya inawezekana wananchi kuandamana kwa maelfu kupinga kinachofanywa na serikali na wasiuawe kwa kukukusudia.
Hatahivyo dhoruba wanazopata watu wasio wazungu ni dhahiri

Lakini kwenye nchi nyingi za Kiarabu na Urusi, wananchi wakiandamana ni lazima kwa kukusudia watauawa
Kwa nini iwe ni kukusudia ila yakitokea Marekani na Ulaya sio ya kukusudia?

Marekani na ulaya watu wao wakiuawa vitani, wananchi wanataka kujua ni kwa nini ndugu zao wamepelekwa vitani.
Kwa tafsiri nyingine, Watanzania wana haki ya kuandamana kupinga Akwilina R.I.P kutumiwa na Wapinzani kama maandamano ni vita!
wananchi wa ulaya wasiozipenda vita hizo, huandamana kuonesha hisia zao.

Mzee wewe ni miongoni mwa waafrika wajinga.na walikuwepo kama wewe miaka yote....
😌
🤭
 
Nje kidogo na mada.. tetesi zilizopo ni kwamba maafisa wa Urusi na watu binafsi walio na Mari nyingi pale cremia wanaziuza kwa kasi sana Mari zao na kuhamisha familia zao nje ya cremia.. Kuna kitu kinakuja hapo mbele.
Kwamba Crimea hakukaliki Tena ?
 
Ulaya na Marekani, Serikali inawajibika kwa wananchi ila Uarabuni na Urusi wananchi ndiyo wanawajibika kwa serikali. Matokeo yake Marekani na Ulaya inawezekana wananchi kuandamana kwa maelfu kupinga kinachofanywa na serikali na wasiuawe kwa kukukusudia.

Lakini kwenye nchi nyingi za Kiarabu na Urusi, wananchi wakiandamana ni lazima kwa kukusudia watauawa, kuteswa na kufungwa jela bila wakati mwingine kanuni za kisheria kufuatwa.

Marekani na ulaya watu wao wakiuawa vitani, wananchi wanataka kujua ni kwa nini ndugu zao wamepelekwa vitani. Kuanzia vita ya Vietnam, Operesheni ya Somalia, vita ya Ghuba na hata sasa ya Ukraine, wananchi wa ulaya wasiozipenda vita hizo, huandamana kuonesha hisia zao.

Fikiria kama Wanajeshi wa Urusi waliouawa zaidi ya 20,0000 ingekuwa wanajeshi hao ni Wamarekani ama wametoka kwenye nchi mojawapo wa ulaya. Unadhani wananchi wa nchi hizo wangekaa kimya?
Kuna jamii zimekomaa sana kwenye demokrasia,ukiacha wazungu(america na UK),Jamii zingine ukizipa demokrasia,nchi hazitatawalika,Angalia Kenya kinachotokea,demokrasia inatumika vibaya kualibu uchumi wa nchi,wanasiasa wote,wa serikalini na upinzani,wote wezi tu,wanatumia mifumo ya demokrasia kuhujumiana na kutafuta maslahi binafsi.
America ni tofsuti,kule maslahi mapana ya nchi kwanza.
Kipindi Cha Trump,Kuna viongozi wa tume ya uchaguzi walipigiwa simu na Raisi wabadilishe matokeo,wakakataa kabisa,na vyombo vya usalama vinavyoongozwa na wateule wa Raisi,vikagoma kufsta maagizo batili kutoka juu.Ukomavu wa watu,South Afrika inawezekana Raisi akatolewa Madarakani,kisheria hii ni kwa vile wazungu waliweka mifumo Bora,ingekuwa south ni ya weusi watupu ingekuwa shithole tu kama Nigeria.
 
Back
Top Bottom