Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Mtoa mada hakuna anachojua ni shabiki tu wa mashoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes wapo vizuriKwa kwel kdogo wazungu wana kautu.... vp wajapan? japo ni nje ya mada!
Cremia ndo niniNje kidogo na mada.. tetesi zilizopo ni kwamba maafisa wa Urusi na watu binafsi walio na Mari nyingi pale cremia wanaziuza kwa kasi sana Mari zao na kuhamisha familia zao nje ya cremia.. Kuna kitu kinakuja hapo mbele.
Kuna watu hawajui ni kwa nini maelfu ya watu wamekufa lakini Putin haoneshi kuguswa (Remorse) na kitendo chake cha kihuni kinachosababisha maelfu hayo ya watu kuawa!
Vipi hapo wanapo sifiwa kuupiga mwingi ni wanainchi wanaowajibika kwa serikali au Ni serikali inayo wajibika kwa wanainchi?
BTW, Ufaransa watu wanaandama kutokana na hali ngumu ya maisha, wakimtaka Macron ajiuzulu, na zaidi watu wametiwa nguvuni. Vipi huko Ni serikali inawajibika kwa wanainchi au ni vice versa?
Kuna watu hawajui hili bali wanadhani hao watu wao wanafanana na Marekani linapokuja suala la kuheshimu haki za binadamu. Unadhani aina ile ya maandamano inayofanyika Ufaransa inaweza kufanyika Uarabuni ama Urusi??Putin hawajibiki kwa yeyote Russia, sio bunge mahakama wala nguvu ya umma inayoweza kumuwajibisha. Atawajibishwa na wanajeshi tu wakimchoka au aamue kujiwabisha mwenyewe kitu ambacho ni kigumu sana.
Kuna watu hawajui hili bali wanadhani hao watu wao wanafanana na Marekani linapokuja suala la kuheshimu haki za binadamu. Unadhani aina ile ya maandamano inayofanyika Ufaransa inaweza kufanyika Uarabuni ama Urusi??
Hivi kilichowafanya wazungu wa Urusi kuwa tofauti na wenzao wa UK & GERMANY ni nini
Inategemea tafsiri yako ya Demokrasia ni nini. Wazungu wote walio fika Afrika miaka hiyo walikuwa wakishangaa Demokrasia zetu. Serikali zetu. Hivyo, kudai Demokrasia ni zao la Wazungu halina mshiko. Wazungu walikuwa na Utwana zaidi kuliko demokrasia. Na utwana wao ulikuwa wa kifamilia.Demokrasia ni zao la Ulaya Magharibi, watu kuukubali utamaduni mwingine sio jambo jepesi. Pia hawa wazungu wa Magharibi walitoka nje ya bara lao na kukutana na jamii nyingine dunia nzima karne nyingi sana wakati wenzao wa Urusi wamejifungia ndani tu. Exposure ni jambo muhimu sana kwa binadamu, angalia kiwango cha ustaarabu wa watu wa Pwani/Zanzibar na bara ulivyo tofauti.
Inategemea tafsiri yako ya Demokrasia ni nini. Wazungu wote walio fika Afrika miaka hiyo walikuwa wakishangaa Demokrasia zetu. Serikali zetu. Hivyo, kudai Demokrasia ni zao la Wazungu halina mshiko. Wazungu walikuwa na Utwana zaidi kuliko demokrasia. Na utwana wao ulikuwa wa kifamilia.
Kwa hiyo warusi siyo wazungu!!!...na ulaya mashariki siyo wazungu!Watu wa Ulaya Magharibi.
Kwa mfano walishangaa demokrasia ya jamii gani?Inategemea tafsiri yako ya Demokrasia ni nini. Wazungu wote walio fika Afrika miaka hiyo walikuwa wakishangaa Demokrasia zetu. Serikali zetu. Hivyo, kudai Demokrasia ni zao la Wazungu halina mshiko. Wazungu walikuwa na Utwana zaidi kuliko demokrasia. Na utwana wao ulikuwa wa kifamilia.
Wanajeshi wangapi wa NATO wamekufa huko Ukraine, juzi hapa kombora la Russia limewatoa pumzi na kuvaporise waafisa wa vyeo vya juu wa jeshi la Merikani, Uingereza na Poland waliokuwa wanejichimbia futi400 chini ya aridhi kwenye handaki la reinforced concrete walipo kuwa wanaratibu vita na kuwapatia cordinates jeshi la Ukraine kulenga targets za jeshi Urusi - mbona hatukuwahi kusikia nchi za Merikani na Ulaya wakiandamana kupinga vifo visivyo vya lazima kwa vijana wao waliojiunga na majeshi ya Ukraine kupigana na Urusi.Ulaya na Marekani, Serikali inawajibika kwa wananchi ila Uarabuni na Urusi wananchi ndiyo wanawajibika kwa serikali. Matokeo yake Marekani na Ulaya inawezekana wananchi kuandamana kwa maelfu kupinga kinachofanywa na serikali na wasiuawe kwa kukukusudia.
Lakini kwenye nchi nyingi za Kiarabu na Urusi, wananchi wakiandamana ni lazima kwa kukusudia watauawa, kuteswa na kufungwa jela bila wakati mwingine kanuni za kisheria kufuatwa.
Marekani na ulaya watu wao wakiuawa vitani, wananchi wanataka kujua ni kwa nini ndugu zao wamepelekwa vitani. Kuanzia vita ya Vietnam, Operesheni ya Somalia, vita ya Ghuba na hata sasa ya Ukraine, wananchi wa ulaya wasiozipenda vita hizo, huandamana kuonesha hisia zao.
Fikiria kama Wanajeshi wa Urusi waliouawa zaidi ya 20,0000 ingekuwa wanajeshi hao ni Wamarekani ama wametoka kwenye nchi mojawapo wa ulaya. Unadhani wananchi wa nchi hizo wangekaa kimya?
Unazungumzia baada ya mapinduzi ya viwanda au enzi za utumwa!?..unajua lolote kuhusu Malcolm x na Luther king!?..black lives matter unaelewa ni nini!?.. campaign ya no racism unajua sababu zake!?..wahindi wekundu ushawahi wasikia!?Kuhusu utu mzungu original ndo ana utu
Ugiriki ni ulaya magharibi!?..maana huko ndiko demokrasia ilikozaliwaDemokrasia ni zao la Ulaya Magharibi, watu kuukubali utamaduni mwingine sio jambo jepesi. Pia hawa wazungu wa Magharibi walitoka nje ya bara lao na kukutana na jamii nyingine dunia nzima karne nyingi sana wakati wenzao wa Urusi wamejifungia ndani tu. Exposure ni jambo muhimu sana kwa binadamu, angalia kiwango cha ustaarabu wa watu wa Pwani/Zanzibar na bara ulivyo tofauti.
Mari ni nini?Nje kidogo na mada.. tetesi zilizopo ni kwamba maafisa wa Urusi na watu binafsi walio na Mari nyingi pale cremia wanaziuza kwa kasi sana Mari zao na kuhamisha familia zao nje ya cremia.. Kuna kitu kinakuja hapo mbele.
Utu ni misingi ya kukataa ubinafsiUnazungumzia baada ya mapinduzi ya viwanda au enzi za utumwa!?..unajua lolote kuhusu Malcolm x na Luther king!?..black lives matter unaelewa ni nini!?.. campaign ya no racism unajua sababu zake!?..wahindi wekundu ushawahi wasikia!?