Maamuzi ya wengi yaheshimiwe, wengi wape.ndo maana kuna kupiga kura kwenye kila kitu, Sauti ya wengi/watu ni sauti ya Mungu (VOX POPULI VOX DEI).Changamoto wingi haujustfy ubora au ukamilifu na wala uchache haujustify udhaifu....kila watu waishi jinsi walivojiamulia...Njia ya wengi si lazima iwe njia sahihi....Tafsiri yako ya demokrasia ni nini?
Hata utaratibu wa kutafuta majority unaingiliwa na vitu vingi..ushawishi, rushwa, uongo, lobbying..n.k.