Tofauti kati ya Waarabu, Warusi, Wamarekani na wazungu kuhusu utu wa mtu

Putin hawajibiki kwa yeyote Russia, sio bunge mahakama wala nguvu ya umma inayoweza kumuwajibisha. Atawajibishwa na wanajeshi tu wakimchoka au aamue kujiwabisha mwenyewe kitu ambacho ni kigumu sana.
Kuna watu hawajui ni kwa nini maelfu ya watu wamekufa lakini Putin haoneshi kuguswa (Remorse) na kitendo chake cha kihuni kinachosababisha maelfu hayo ya watu kuawa!
 
Ufaransa wanaandama kwa sababu ya pensheni, kuongezwa miaka ya kustaafu kutoka 62 hadi 64 na wala hawana haja ya Macron kujiuzulu.
 
Putin hawajibiki kwa yeyote Russia, sio bunge mahakama wala nguvu ya umma inayoweza kumuwajibisha. Atawajibishwa na wanajeshi tu wakimchoka au aamue kujiwabisha mwenyewe kitu ambacho ni kigumu sana.
Kuna watu hawajui hili bali wanadhani hao watu wao wanafanana na Marekani linapokuja suala la kuheshimu haki za binadamu. Unadhani aina ile ya maandamano inayofanyika Ufaransa inaweza kufanyika Uarabuni ama Urusi??
 
Maandamano yanayofanyika Ufaransa sasa hivi au yale ya Trump yaliyofanyika Capitol Hill kuvamia bunge ingekuwa ni Urusi, Iran, China, Africa au Uarabuni tungekuwa tunazungumzia mauaji ya halaiki ya watu na ICC inasaka watoa amri na watekelezaji sasa hivi. Mito ya damu ingetiririka kutoka maelfu ya maiti za binadamu.
Kuna watu hawajui hili bali wanadhani hao watu wao wanafanana na Marekani linapokuja suala la kuheshimu haki za binadamu. Unadhani aina ile ya maandamano inayofanyika Ufaransa inaweza kufanyika Uarabuni ama Urusi??
 
Demokrasia ni zao la Ulaya Magharibi, watu kuukubali utamaduni mwingine sio jambo jepesi. Pia hawa wazungu wa Magharibi walitoka nje ya bara lao na kukutana na jamii nyingine dunia nzima karne nyingi sana wakati wenzao wa Urusi wamejifungia ndani tu. Exposure ni jambo muhimu sana kwa binadamu, angalia kiwango cha ustaarabu wa watu wa Pwani/Zanzibar na bara ulivyo tofauti.
Hivi kilichowafanya wazungu wa Urusi kuwa tofauti na wenzao wa UK & GERMANY ni nini
 
Inategemea tafsiri yako ya Demokrasia ni nini. Wazungu wote walio fika Afrika miaka hiyo walikuwa wakishangaa Demokrasia zetu. Serikali zetu. Hivyo, kudai Demokrasia ni zao la Wazungu halina mshiko. Wazungu walikuwa na Utwana zaidi kuliko demokrasia. Na utwana wao ulikuwa wa kifamilia.
 
Tafsiri yako ya demokrasia ni nini?
 
Kwa mfano walishangaa demokrasia ya jamii gani?
 
Wanajeshi wangapi wa NATO wamekufa huko Ukraine, juzi hapa kombora la Russia limewatoa pumzi na kuvaporise waafisa wa vyeo vya juu wa jeshi la Merikani, Uingereza na Poland waliokuwa wanejichimbia futi400 chini ya aridhi kwenye handaki la reinforced concrete walipo kuwa wanaratibu vita na kuwapatia cordinates jeshi la Ukraine kulenga targets za jeshi Urusi - mbona hatukuwahi kusikia nchi za Merikani na Ulaya wakiandamana kupinga vifo visivyo vya lazima kwa vijana wao waliojiunga na majeshi ya Ukraine kupigana na Urusi.

Unacho sahau ni kwamba Warusi wanapigana kilinda Taifa lao kwa gharama yoyote ile dhidi ya njama za mabeberu. Actually during WW2 Urusi liwahi kopoteza wanajeshi million 20+ wakati Uingereza ilipoteza laki nne tu 400,000 na Merikani laki tano tu 500,000 hivyo kiujumla US na Waingereza hawajui vita inasababisha hasara gani hasa, ndio maana wanatumia muda mwingi kuchonganisha watu na kuchochea vita Ulimwenguni kwao vita ni biashara ya kuuza silaha za wamiliki wa Military Industrial Complex.

Urusi ni tofauti kabisa linapo kuja suala la kupigania survival ya Taifa ya Urusi lao moja - ndio maana unaona opinion polls za Urusi zinaonyesha karibu asili mia 98% zinamu support Putin, je. huko Merikani raia wangapi wana support adventure za Biden??
 
Kuhusu utu mzungu original ndo ana utu
Unazungumzia baada ya mapinduzi ya viwanda au enzi za utumwa!?..unajua lolote kuhusu Malcolm x na Luther king!?..black lives matter unaelewa ni nini!?.. campaign ya no racism unajua sababu zake!?..wahindi wekundu ushawahi wasikia!?
 
Ugiriki ni ulaya magharibi!?..maana huko ndiko demokrasia ilikozaliwa
 
Unazungumzia baada ya mapinduzi ya viwanda au enzi za utumwa!?..unajua lolote kuhusu Malcolm x na Luther king!?..black lives matter unaelewa ni nini!?.. campaign ya no racism unajua sababu zake!?..wahindi wekundu ushawahi wasikia!?
Utu ni misingi ya kukataa ubinafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…