Top 10 ya Makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania

Sema uzuri Wasukuma uchoyo ndiyo hawanaga. Bibi yangu Msukuma. Muda wowote utakaofika ulikuwa unakuta kiporo fulani kimewekwa.
 
Ingawa mi mnyakyusa ila kwa hili nawapongeza wasukuma, kuna kipindi mzee wangu alikuwa na mashamba usangu, kwenye zile nyumba za mashambani mara nyingi hazifungwi milango basi njaa ikiwauma wakina ngosha utakuta wameingia ndani na kujisevia wenyewe.

Hapo wakichinja ng'ombe lazima ukumbukwe, maziwa nayo utayachezea sana
 
Nimesikitika Kuona Wanyamezi hawapo kwa hii list ila yote kwa yots I'm glda wasukuma wame top list hao jamaa huwa kura ni kama vita wanafukia balaa
 
Kipindi nipo Advance niliwahi kubeti mambo ya msosi na mnyamwezi nikaliwa elfu 30 kiulaini kabisa.

Ile raia ilikula chapati 35 na kisado cha uji muda wa break na ikapiga lunch kama kawaida haha

Cha ajabu wanyamwezi hawapo kwenye list.!!
 
Kula chakula kingi! Ujazo ujazavyo tumboni ndio utokavyo chooni! Vipi kushusha mzigo chooni, wanashusha kilo ngapi? Hiyo ndiyo biashara nzuri ya magari ya maji taka kuja kusafisha vyoo vinavyojaa haqaka!
Kuna siku tulipita pagaran misungwi tulibaki hoi maana kinyes ni mlima km kanya fungoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ACHA poti ale unajua kukimbizana na vibaka huna kitu tumboni ni kazi mkuu
 
Mwanaume unashindwa Ugali kweli!?
 
Wasukuma wakija kkoo wanakwambia nipe lile shati la maua la elfu 25 😹😹😹

Hawajui km huku hilo shati elfu saba, bei aliyouziwa kwao mnadani anajua ndo bei hiyo hiyo Tanzania nzima…!!!
 
Ujue kula sana kunaendana na kuzalisha (kuchapa kazi)
Kama unapenda wale wanakula milo miwili kwa siku (chai saa tano) dinner saa kumi) ujue kutwa kucha wapo kijiweni (mabarazani wanapiga soga)
Kama unataka kupata maendeleo/jembe, tafuta mke/Mume atokee hayo makabila yanayo kula sana
 
Wagogo umewaonea
 
Wasukuma wakija kkoo wanakwambia nipe lile shati la maua la elfu 25 😹😹😹

Hawajui km huku hilo shati elfu saba, bei aliyouziwa kwao mnadani anajua ndo bei hiyo hiyo Tanzania nzima…!!!
Haaahaa,

Ukimwambia lipo la 7000 kama hilo hilo ana πŸƒπŸƒπŸƒ atajua ni fake.

Wasukuma genetically Wana zaliwa na genes za USHAMBA automatically 🀣 πŸ˜‚
 
 
Kuna Hawa wanyakyusa nao ni balaa
Hao ni vyakula vya kilimo tu,
ugali, viazi, ndizi,mboga,matunda na labda kitimoto tu.
Nyama kwao sio kipaumbele kabisa.
Unashiba kabla kupata nyama,kuku.samaki
Ushashiba,miwa ipo nje tu,mananasi hapo pembeni, mabhifu unatoa kwenye mti yashaiva,passion,strawberries,avokado,guava mengine sikumbuki hizo unachuma tu porini unakula.
 
Kula sana sio hasara na hata kama ingekuwa kutumia pesa sana Badala ya yake hasara ni ukishamaliza hujui namna ya kutafuta kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…