Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%
Naona kabisa hapa serikali imepunguza viwango kwa shinikizo toka kwa wananchi, lakini kama vitu vingine bado hawajavigusa kama mafuta ya kupikia, gas na mengine.

Nadhani watatafuta sehemu nyingine wakafidie hilo pengo, serikali isimkandamize mwananchi wa kawaida, ibuni na kusimamia vikubwa tulivyojaliwa na Mungu.

Nashauri serikali ingebaki na hivyo viwango vipya bila kuongeza pengine.
 
Serikali chini ya CCM ni wajinga sana, yaani wametengeneza tatizo kisha wanalitatua ili ionekane serikali chini ya mama Samia ni sikivu, wajinga ndio waliwao wasifikiri watanzania ni wajinga kiasi hicho…
Mbinu hii wanayoitumia imepitwa na wakati.
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 31, 2021 ametia saini mabadiliko ya tozo za miamala ambapo serikali imepunguza 30% na makampuni ya simu Kupunguza 10% kutoka kwenye gharama za awali za ufanyaji wa miamala.
Saf
 
ALL IS STUPID WIZI , HUWEZI TOZA KODI HELA YA KUOSHA MAITI, KULIPIA ADA, STUPID
 
Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba Leo August 31,2021 ametia saini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya Kieletroniki za Kutuma na Kutoa Fedha za Mwaka 2021 na kupunguza viwango vya tozo za miamala kwa 30% huu ukiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Samia ambaye alielekeza tozo zipitiwe upya baada ya kusikia kilio cha Wananchi kuhusu tozo hizo.

Serikali pia imefanya majadiliano na watoa huduma za simu ambao na wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza katika miamala ya kutuma na kutoa fedha kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa 10%.

Viwango vilivyopunguzwa vitatangazwa rasmi kwa Tangazo la Serikali kesho September 01,2021 ambapo Serikali imesema inaamini uamuzi huo utatoa nafuu kwa Wananchi na kuiwezesha Serikali kupata fedha za kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kama ilivyokusudiwa wakati tozo hizo ziliporidhiwa na kupitishwa na Bunge la Bajeti la Mwaka 2021/2022.

#Kazi Iendelee.

Bwanku M Bwanku.

255652558010_status_5892102b84de4326bb014f89f62a828e.jpg
 
nimerudi kidogo form two
Maneno ya wimbo
Get up, stand up (Oh yeah) stand up for your rights (Lord, Lord)
Get up, stand up (In the morning) stand up for your rights (Stand up for your rights)
Get up, stand up (Stand up for your life) stand up for your rights (Stand up for your life)
Get up, stand up (Stand up for your life) don't give up the fight!
Oh I say
Preacher man, don't tell me
Heaven is under the earth
I know you don't know
What life is really worth
It's not all that glitters is gold
'Alf the story has never been told
So now you see the light, eh
Stand up for your rights
Get up, stand up (Lord, Lord) stand up for your rights (What you got to give?)
Get up, stand up (For the life you live) don't give up the fight (Yeah)
Get up, stand up (Life is your right) stand up for your rights (Without life you can't fight)
Get up, stand up (Keep the good time calling) don't give up the fight (Oh Lord)
Most people think
Great god will come from the skies
Take away everything
And make everybody feel high
But if you know what life is worth
You will look for yours on earth
And now you see the light
You stand up for your rights jah
Get up, stand up! (Jah, jah!)
Stand up for your rights! (Oh-hoo!)
Get up, stand up! (Get up, stand up!)
Don't give up the fight! (Life is your right!)
Get up, stand up! (So we can't give up the fight!)
Stand up for your rights! (Lord, lord!)
Get up, stand up! (Keep on struggling on!)
Don't give up the fight! (Yeah!)
We sick an' tired of-a your ism-schism game
Dyin' 'n' goin' to heaven in-a Jesus' name, lord
We know when we understand
Almighty god is a living man
You can fool some people sometimes
But you can't fool all the people all the time

So now we see the light (What you gonna do?)
We gonna stand up for our rights! (Yeah, yeah, yeah!)
So you better
Get up, stand up! (In the morning! git it up!)
Stand up for your rights! (Stand up for our rights!)
Get up, stand up!
Don't give up the fight! (Don't give it up, don't give it up!)
Get up, stand up! (Get up, stand up!)
Stand up for your rights! (Get up, stand up!)
Get up, stand up! (Don't be a neighbour in your neighbourhood)
Don't give up the fight! (Get up, stand up!)
Get up, stand up! (I don't think that should be very good, Lord)
Stand up for your rights!
Get up, stand up!
Don't give up the fight
 
Serikali chini ya CCM ni wajinga sana, yaani wametengeneza tatizo kisha wanalitatua ili ionekane serikali chini ya mama Samia ni sikivu, wajinga ndio waliwao wasifikiri watanzania ni wajinga kiasi hicho…
Tafuta kitabu cha Mimi na Rais kutoka kwa Lello Mmasy, ameelezea sana kuhusu hili jambo.
 
Sijaona sababu ya kupunguzwa tozo hii. Wananchi sisi tulitamani hata izidi maradufu ila kumbe mnapunguza na hayo maendeleo yatakuja kwa njia gani.

Serikali iwe sikivu kwa wananchi wake, sisi tunataka kulipa kodi nyie mnapunguza ni lini tutajenga nchi sasa.

Mmenikwaza sana siku ya leo. Acha nikafungue sasa kibanda changu cha M-Pesa kunasa wateja.
 
Watajiju siwezi tena kutumia mitandao ya simu ni wizi mtupu, benki zinatosha. Ukiona kitu kakataa mzungu jua kuna shida, mitandao ya simu kutuma hela iko Africa tu.
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 31, 2021 ametia saini mabadiliko ya tozo za miamala ambapo serikali imepunguza 30% na makampuni ya simu Kupunguza 10% kutoka kwenye gharama za awali za ufanyaji wa miamala.
Tumepunguza tozo ila tumeongezea kwenye mafuta yatapanda kuanzia Tarehe 1.

Sawa?
 
Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba Leo August 31,2021 ametia saini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya Kieletroniki za Kutuma na Kutoa Fedha za Mwaka 2021 na kupunguza viwango vya tozo za miamala kwa 30% huu ukiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Samia ambaye alielekeza tozo zipitiwe upya baada ya kusikia kilio cha Wananchi kuhusu tozo hizo.

Serikali pia imefanya majadiliano na watoa huduma za simu ambao na wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza katika miamala ya kutuma na kutoa fedha kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa 10%.

Viwango vilivyopunguzwa vitatangazwa rasmi kwa Tangazo la Serikali kesho September 01,2021 ambapo Serikali imesema inaamini uamuzi huo utatoa nafuu kwa Wananchi na kuiwezesha Serikali kupata fedha za kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kama ilivyokusudiwa wakati tozo hizo ziliporidhiwa na kupitishwa na Bunge la Bajeti la Mwaka 2021/2022.

#Kazi Iendelee.

Bwanku M Bwanku.

View attachment 1918384
Hii serikali isiyofuata sheria zake ni serikali ya ajabu sana; kama sheria ilipitishwa na Bunge iweje Waziri wa fedha aibadilishe kienyeji kwa maelekezo ya rais tu? Utaratibu ni kuwa atayarishe muswada mpya wa kuirekebisha na kuupeleka Bungeni. Halafu swala siyo kupunguza kodi tu, inabidi bajeti nzima ifanyiwe marekebisho, kwani bajeti hiyo pamoja na mambo mengine ilitegemea mapatao yatokanayo na kodi hiyo ya miamala.
 
Sheria imeweka tozo lakini haikutaja kiasi cha tozo, kanuni ndio zinazoweka viwango vya tozo, na waziri wa fwdha ana mamlaka kisheria ya kubadilisha kanuni
 
Back
Top Bottom