Huyo hashauriki ukiienda kumshauri utaitwa mchocheziHivi rais wetu anashaurika??????
''Mtukufu'' huwa hashauriwi anajishauri mwenyewe.
Msimuingilie kwenye majukumu yake
Umewahi kuyaona hayo mapato?mizigo ilivyokua mingi mapato yalikua hayaonekani, sasa ya nn iwe mingi
hio hio michache mapato yanayo onekana inatosha
Huyo mpuuze, Aina ya WaTz wanaoikwamisha nchi hii. Mwambie aweke uwanja huru ndio atoke aje kutamba humu.Hivi unajua mtu wa pili alipata kura ngapi???
Mapato takwimu si zinatolewaUmewahi kuyaona hayo mapato?
Mkuu kuna watumishi wanadai Serikali madeni kadhaa wanaambiwa yanahakikiwa Ikulu..hivi Ikulu inafanya kazi ngapi?Mbwembwe zote zimeishia kwenye aibu hii.
Ni wazi mapato ya mwezi tunayosomewa ni madeni ya nyuma sasa njia ya muongo ni fupi uchumi umekwama nadhani Leo ndiyo ccm watasadiki kuwa demokrasia na uchumi ni pande mbili za sarafu moja ukisigina kimoja umesigina vyote.
Kwahiyo zikitolewa Takwimu wewe tayari unashangilia...Kwaakili kama hizi kwanini ccm isikutunze Fulana na Kofia maana unachangia kuifanya itawale mileleMapato takwimu si zinatolewa
Weka hizo data za kodi hapa wazi tujue huo utofauti wa sasa!!! Ili tukuelewa kuliko maneno tuhivi unajua sekta hii ilikuwa inaingiza % katika kodi inayokusanywa?
Sasa kama takwimu hatu zijui kwa kutangazwa, unamaanisha kuna namna nyingine ya kuzijua?Kwahiyo zikitolewa Takwimu wewe tayari unashangilia...Kwaakili kama hizi kwanini ccm isikutunze Fulana na Kofia maana unachangia kuifanya itawale milele
Kwani hatahivyo tokea Mt.Meru hotel iliporekebishwa na kuanza kazi mpaka sasa mwenye hisa kubwa si jamaa wa Mauritius then Mkenya?Kwakweli huko tuendako hali ni tete wala siyo uongo. Nimesoma matangazo Mount Meru Hotel inauzwa na Snow Crest ipo kwenye process ya kupigwa mnada.
Halafu tunaambiwa uchumi unapanda
Tatizo mnajazwa maneno bila mpangilio, na jenga hoja ya kueleweka leta hizo takwimu zako ambazo mapato hamna na uelezee vizuriKwahiyo zikitolewa Takwimu wewe tayari unashangilia...Kwaakili kama hizi kwanini ccm isikutunze Fulana na Kofia maana unachangia kuifanya itawale milele
Mtumishi unadai nini wakati mshahara unalipwa?Mkuu kuna watumishi wanadai Serikali madeni kadhaa wanaambiwa yanahakikiwa Ikulu..hivi Ikulu inafanya kazi ngapi?
Hao waliomchagua wanalia kisirisiri tunawaona humu ila kujitokeza wanaona aibuLab
Labda washindani wake wabadilishwe lakini kama ni wale wale wa mwaka jana hata kama uchaguzi utarudiwa mara 100 lazima Magufuli atashinda. Kwa hivyo waliompigia kura hawawezi kujilaumu na wala hawana tatizo lolote kwa sababu ni kama vile hakukuwa na option. Ilikuwa ni ama kumchagua magufuli ama kutoenda kupiga kura.
Msamehe huyo jamaa anaSupport Siasa kwakuamini watu badala ya SERA na Mikakati ya Chama...alimuamini Dr wa Mihogo akaidharau Nchi...sasa Uchaguzi umeisha jamaa yake yuko Canada anakula Mihogo yeye yuko hapa anaKamuliwa KODI hadi anatoka DAMU wako wengi wa namna yake! niwakuhurumiwa tuWewe huna tofauti na Petro aliyemkana Yesu.
Wewe ulikuwa mpiga kampeni mkubwa ukisema tusubiri Tz ya Viwands haya unayatoa wapi tena?
Toa data tujue kuwa mizigo imepungua,na wataalam makini hufanyia kazi data pale zinapopanda au kushuka kwani Serikali,Taasisi hata NGO hufanya kazi kwa kufuata Targets walizopanga sio maneno tu weka data hapa tujue ukweli wa unachosema.waio positive thoughts ndio zitakazo ongeza idadi ya mizigo na kupandisha mapato juu!?
Mount Meru Hotel ni ya Sumaye mkuu...hao wakenya wana hisa chache sanaKwani hatahivyo tokea Mt.Meru hotel iliporekebishwa na kuanza kazi mpaka sasa mwenye hisa kubwa si jamaa wa Mauritius then Mkenya?
Hiyo ya kusema ni mali ya watanzania ni danganya toto.