TPA: Upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo zaidi ya bandari ya Mombasa, itapokea tani milioni 2 za mizigo

Ni ndoto ya mchana kweupe kuilinganisha bandari ya Tanga na Bandari ya Mombasa.

Mombasa wapo mbali sana na Bandari ya Tanga na hautatokea Tanga kuipata Mombasa port.
Mkuu, unapuuza Vya home vipi mkuu
 
Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.

Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu.

Chanzo: ITV habari.

Kazi Iendelee!
Huyo mkurugenzi ni boya, mombasa uwezo wake ni 2.65million TEUs kwa sasa karibu mara moja na nusu ya hiyo watakayojenga Tanga.
 
Ni ndoto ya mchana kweupe kuilinganisha bandari ya Tanga na Bandari ya Mombasa.

Mombasa wapo mbali sana na Bandari ya Tanga na hautatokea Tanga kuipata Mombasa port.
Umesema ukweli kabisa. niishie hapo nisiseme sana.
 
Mkuu, unapuuza Vya home vipi mkuu
Wewe pumbaf sihitaji mawasiliano na wewe kamwe.
Hujui na huna subira , unasahau ulivyo nitukana kisa kukupinga kwenye baadhi ya comments zako.
 
Umefanya vema, nahisi sasa baada ya tukano lako hili, hasira zako zitakuwa zimekuisha, na kama utakuwa unahasira na Mimi, basi utakuwa demu
 
Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.

Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu.

Chanzo: ITV habari.

Kazi Iendelee!
Use common sense bandari ya Mombasa ni bora kuliko ya Dar es salaam utaifananishaje Na ya Tanga
 
Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.

Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu.

Chanzo: ITV habari.

Kazi Iendelee!
Ukijumlisha tonnage ya bandari zetu zote kubwa tatu za bara Na ya NNE ya Zanzibar sidhani kama tunaifikia bandari ya Mombasa inauma ila ndohivo we have a lot to do tuache propaganda haziboreshi maisha.
 
Mkuu MOMBASA NI KISIWA?AISEE TEMBEA UONE,NDIO NIMEJUA LEO,AHSANTE KWA TAARIFA
Mombasa ISLAND is a 5 by 3 Km (3.1 by 1.9mi),coral outcrop located on Kenya's coast on Indian Ocean ,which is connected to the mainland by a causeway.Part of the city of Mombasa is located on ISLAND including of Old Town
 
mombasa sio kisiwa wewe
Mombasa ISLAND is a 5 by 3 Km(3.1 by 1.9 mi)coral outcrop located on Kenya' coast on the Indian Ocean,which is connected to the mainland by a causeway.Part of the City of Mombasa is located on the ISLAND ,including the Old Town.
 
Huu Upanuzi ni wa miaka mingapi? Kimsingi hakukuwa na haja kwa Transit za kwenda kaskazini kufanyikia Dar! Watu wangekuwa wanafanyia Clearance zao Tanga Port wanaenda Moshi-Arusha (Tarakea-Namanga) borders bila kuja Dar es Salaam!
 
Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.

Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu.

Chanzo: ITV habari.

Kazi Iendelee!
Huo mzigo wa Tanga utakua unaenda wapi? Koogwe? Au Handeni?
 
Mombasa ISLAND is a 5 by 3 Km(3.1 by 1.9 mi)coral outcrop located on Kenya' coast on the Indian Ocean,which is connected to the mainland by a causeway.Part of the City of Mombasa is located on the ISLAND ,including the Old Town.
hujafika Mombasa wewe ukapanda hata basi tu toka mwembetayari kwenda Nairobi au kuja Tanzania.Ni sawa na useme Kigamboni dar ni kisiwa achana na uzushi wa wikipedia sio sehemu reliable za taarifa
 
Back
Top Bottom